Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Naomba link tafadhali maana hapa natumia Redmi Note 7 Pro haijawahi kuniangusha. Ila juzi nimepata nayo ajali imepinda katikati na kuvunja kioo... Ingawa bado naitumia ila naiona haina maisha marefu toka sasa.
Nimekutumia pm mkuu.
 
ila mnapenda ligi sio poa kuna tofauti hizo

redmi 9
redmi 9c
redmi 9T

halafu kuna Note series
Note 9
Note 9 pro

hizi bei za note ziko juu sio hizo ulizo tupa hapa (270-450)k


halafu kuna hiz Mi series jaribu kuzifahamu kwanza hizo simu kabla huja anza kuishangilia hiyo 9c yako ankoli
  • heading ya uzi na mnavotaka ndio mnajenga LIGI za mchangani

Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja​

 
mkuu hii umetumia shipping method ipi? maana naona dhl which is very expensive.

Au seller yupi anatuma kwa standard shipping? View attachment 1825840
IZI SIMU ZIKO TIGO UNAPATA KWA 270,000 -450,000 NA GB KIBAO MWAKA MZIMA MIMI NINAYO MOJA, NA UNATUMIA LAINI YEYOTE
Shida yake ni processor
  • heading ya uzi na mnavotaka ndio mnajenga LIGI za mchangani

Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja​

sasa ww huku elewa uyo alie uliza hapo juu kua ame tumia shipping method ipi maana alishangaa kuona kuisafirisha tu hiyo sim kuja bongo hela ina kua nying ww haraka haraka ukajibu kua hizo simu zipo tigo kwa bei ya sh 270k mpaka 450k kumbuka hapo sim ilikua ni Redmi Note 10 aya naomba bei ya Note 10 apo tigo ulipo sema hizo sim n bei hizo hiyo 9c sio ishu maana haina maajabu na sio kusudio la muuliza swali pale juu maana tunajua series za redmi hua ni rahis kulinganisha na matoleo ya Note ama Mi ......
 
Mi natumia redmi note 9, aijawwh kunisumbua tangu nimenunua mwaka jana mwezi WA 7 ndio zilikuwa hot zaidi, Ila hapa nafikiria kubadilisha kwenda note 10 pro na nashukuru huku nilipo zipo nyingi. Sema hizi simu ni ngumu Sana alaf ni imara Yan ishu kubwa Tz ilikuwa ni kupata accessories zake Kama protector na kava, ilinibidi niwe nakua naagizia eBay.
Accessories mi huwa naagiza kupitia AliExpress Kama kawaida, bongo hapa hakuna
 
Unaweza kutoa location/contact ya duka husika?
Check hapo
Screenshot_20210626-203139_Instagram.jpg
 
Nataka ninunue redmi,nahofia ikipasuka kioo,je spea zipo
 
Back
Top Bottom