Dah yko mkoa gani anipe ujuzi,maana nimekigeuza km pambo tuMkuu tatizo lako lilinikumba hata mimi na nokia 105 mara ya kwanza navyonunua niliweka security code bahada ya muda nikaweka off zile code,lakin nikitoa laini ambazo zilikuwepo mule nikiweka laini nyingine inanidai code nimeingiza zile code za kila aina inagoma,kuna jamaha mtaalam wa simu nikampa sa sijui aliiflash au aliunlock saizi naweka laini yeyoteView attachment 981474
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilikuwa iringa we tafuta fundi anayeflash au kunlock atakusaidia mi ndani ya dakika mbili tu tatizo likaisha
Haina noma mkuu,shukraniNilikuwa iringa we tafuta fundi anayeflash au kunlock atakusaidia mi ndani ya dakika mbili tu tatizo likaisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi huo mzigo umeshaupata?Ingekuwa hivyo postal ingekuwa imeshajifia
Postal ninayotumia Mama wa pale alipokuwa likizo walimuweka mshkaji mmoja alikuwa faster Sana yaani hakopeshi, mzigo ukiingia pale anakutwanga sms Leo Leo ukachukue Kama kuchelewa labda GPO wacheleweshe kufikisha ofisini kwake!!
Sasa karudi Mama mwenyewe na Kijana kahamishiwa Pugu Road mbona kimbembe.
Sometime uvivu tu Kaka!!!
Nilichogundua postal kuu huwa wanapeleka mafurushi matawini J3 na alhamisi so wale wamama wanatakiwa kufungua,kupanga na kuwataarifu wenye mizigo.
Ila utakuta furushi limeleta j3 but wanakuja kufungua J1 au J3 inayofuata.
Kuna hii mpya Mi Box S, ipo enhanced zaidi, never seen before Android Box kama za Xiaomi.
Mi 8 lite kwa bei ya online inakaribia laki sita na Mi 8 andaa 1.1M
Mi 8 lite kwa bei ya online inakaribia laki sita na Mi 8 andaa 1.1M
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna hii mpya Mi Box S, ipo enhanced zaidi, never seen before Android Box kama za Xiaomi.
View attachment 985202View attachment 985203
Sent using Jamii Forums mobile app
Kifaa gani iko mzee ufafanuzi tafadhaliHakuna mfano..
Niliteseka mwanzoni na MXQ Pro,inaonekana haziko licensed na google kurun os yao kwenye devices zao so kwa apps kama Dstv Now ambazo ina strict security rules ikawa haiwezi kufanya playback.
I finally landed to Xiaomi na sijajuta kabisa.
Nikaongeza na hii wireless keyboard to make navigation easier kwenye TV
Sent using JF For iPhones
Yes nadhani itakuwa hivyo