Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Mkuu tatizo lako lilinikumba hata mimi na nokia 105 mara ya kwanza navyonunua niliweka security code bahada ya muda nikaweka off zile code,lakin nikitoa laini ambazo zilikuwepo mule nikiweka laini nyingine inanidai code nimeingiza zile code za kila aina inagoma,kuna jamaha mtaalam wa simu nikampa sa sijui aliiflash au aliunlock saizi naweka laini yeyoteView attachment 981474

Sent using Jamii Forums mobile app
Dah yko mkoa gani anipe ujuzi,maana nimekigeuza km pambo tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
IMG_20190102_143010.jpg
 
Ingekuwa hivyo postal ingekuwa imeshajifia

Postal ninayotumia Mama wa pale alipokuwa likizo walimuweka mshkaji mmoja alikuwa faster Sana yaani hakopeshi, mzigo ukiingia pale anakutwanga sms Leo Leo ukachukue Kama kuchelewa labda GPO wacheleweshe kufikisha ofisini kwake!!
Sasa karudi Mama mwenyewe na Kijana kahamishiwa Pugu Road mbona kimbembe.
Sometime uvivu tu Kaka!!!
Nilichogundua postal kuu huwa wanapeleka mafurushi matawini J3 na alhamisi so wale wamama wanatakiwa kufungua,kupanga na kuwataarifu wenye mizigo.
Ila utakuta furushi limeleta j3 but wanakuja kufungua J1 au J3 inayofuata.
Vipi huo mzigo umeshaupata?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna hii mpya Mi Box S, ipo enhanced zaidi, never seen before Android Box kama za Xiaomi.
View attachment 985202View attachment 985203

Sent using Jamii Forums mobile app

Hakuna mfano..
Niliteseka mwanzoni na MXQ Pro,inaonekana haziko licensed na google kurun os yao kwenye devices zao so kwa apps kama Dstv Now ambazo ina strict security rules ikawa haiwezi kufanya playback.
I finally landed to Xiaomi na sijajuta kabisa.

Nikaongeza na hii wireless keyboard to make navigation easier kwenye TV
ef131c9c19299269bac44b42f8ce2059.jpg

Sent using JF For iPhones
 
Kifaa gani iko mzee ufafanuzi tafadhali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom