Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Ni simu gani?
Mkuu hv ni model zote za xiaomi zina matatzo ya battery..coz hapa nna mi max inasumbua chaji ikifikia 30% inazima ghafla hasa nkiwa internet.. Vp unazunguziaje kuhus hz batteries za lithium ion vs lithium polymer ipi bora? Maana hawa jamaa model zote wanatumia li-po
 
kwani si kuna kitufe cha dispute pale? hua kina kazi gani kwa mfano mzigo umepotea
usitegemee utashinda kila dispute mzee wale sio wajinga wanasimamia haki na ikionekana seller ametekeleza wajibu wake lakini mzigo umepotelea huku nchini kwako sijui posta wameiba hapo seller hana makosa na anashinda hupati chochote kile...omba Mungu tu ukutane na seller mstaarabu muongee vizuri akuhurumie akutumie mzigo mwngn tofauti na hapo lazma utoke damu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo betri tayari imekwisha
Sent using Jamii Forums mobile app
 
*OFA OFA OFA *
IPHONE 5s
16Gb
Brand new
Brand new accesories
300k
All colours[emoji390]

Samsung A7 (2015)
Brand new
Brand new accesories
320k
All colors[emoji390]

Samsung galaxy J7(2015)
Brand new
Brand new accesories
All colors[emoji390]
320k

Call [emoji338]0716119347

Free delivery[emoji593][emoji593]



Sent from my iPhone using JamiiForums
 
mpaka sasa dispute zote nimeshinda na evidence natoa kama nimepokeakina.tatizo, sasa nikuulize huo mzigo umepotea posta nchini kwako je wewe ulikufikia? kwa hiyo kila mzigo ukipotea nchini kwako hujaupata kosa linakua la kwako wewe si.ndio ambao umezembea airport kwenda kuchukua parcel yako sio? taratibu kwanza sheria zote za mule umezisoma? ili mzigo uwe halali kwako ni lazima upokee wewe au ufate airport?
 
Kwenye dispute unatakiwa uwe mjanja Sana,kumbana Seller pande zote na kutoa strong evidence vinginevyo unajifunga mwenyewe!!!
Mi sijawahi shindwa dispute, pia Kama Mara 3 nilishinda dispute pesa zikarudi then mizigo ikafika nje ya muda uliowekwa so ikabidi nimalizane nao pembeni kujenga uaminifu
 
Ebu tupe somo moja ya strong reason inaweza kuwa ni ipi?
 
Ebu tupe somo moja ya strong reason inaweza kuwa ni ipi?
Inategemea mazingira ya dispute!!
Kama mzigo wako umepotelea postal lazima ukomae na posta masta ajaze form za upotevu mfano Kama wa hapo chini
Then unaituma AliExpress Kama evidence yako japo Mara nyingi watu wa posta huwa hawajazi Kama usipokomaa nao.
Hiyo paper inaonyesha wapi mzigo umepotelea pia mawasiliano baina ya postal ulipotoka mzigo na postal inayopokea yanafanyika kabla ya kupewa hiyo form.
Evidence nyingine Ni kutuma picha na video Kama mzigo uliotumwa haupo Kama ulivyotegemea au una hitirafu fulani
 
Kuna uzi wa earphone mkuu..ukiupitia ule utapata earphone kali zaid ya xiaomi..tena kwa bei almost sawa na za xiaomi..

Mi narecomend Rock Zircon hizi ni balaa..nilinunua kwa 24,000 tu...tareh 11 kuna discount zitapatakana hadi kwa 7 usd
Rock ni nzuri sana kushinda Xiaomi tatizo hazichelewi kuharibika na hata kwenye reviews nimeona watu wengi wanalalamikia hilo.

Zangu zilikaa miezi miwili tu ile connector ikaanza kusumbua,Sasa nina za Xiaomi nazo ni nzuri ila sio kuzidi Rock

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaa rock niliona review ya connector haikua nzur...ila yangu tangu mwaka jana mwezi wa pili hadi leo haijasumbua..yani iko poa sana

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…