Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Zako uliagiza toka store Gani Mkuu,unaweza nisaidia link

Sent using Jamii Forums mobile app
TZS 21,963 43%OFF | Rock Zircon Stereo Earphone In Ear Headset With Micro 3.5mm In Balanced Immersive Bass Earphones for iPhone for Xiaomi Huawei
US $9.66 42% OFF|Rock Zircon Stereo Earphone In Ear Headset With Micro 3.5mm In Balanced Immersive Bass Earphones for iPhone for Xiaomi Huawei-in Phone Earphones & Headphones from Consumer Electronics on Aliexpress.com | Alibaba Group

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
 
Hii ni store ambayo na Mimi niliagiza,nahisi zangu walinipa feki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi hadi usb natumia ya rock [emoji3]

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
 
sawa mzee mm naagiza mzigo ili niupate sio maswala ya refund ningekua nataka hela zangu ningekua na kaa nazo tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi pia huwa nashinda dispute ila spendi dispute unafanya tu inapobidi kwasababu mtu unaagiza mzigo ukiwa na nia yakuupata sio kuanza kurumbana...vile vile kuna rafiki yangu alishawahi ibiwa simu yake akafungua dispute baada ya aliexpress kuona uthibitisho kua mzigo ulkua ukitrackiwa mpk kufika hapa nchini ndo ukapotea ikaonekana seller hana kosa lolote kwakua altekeleza wajibu wake hivo akashinda na jamaa hajapata refund wala nn...ndo maana huwa sitegemei dispute kwa asilimia zote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
za xiaomi aina gani unazo Bro..Mi rock sjawahi kuztumia ila xiaomi earphone zake nzuri sana hasa Mi piston Pro ziko vizuri sana kuanzia muonekano wake ni premium yani hadi sound quality ila bei yake ni kubwa kidogo..vile vile nlikua na Mi capsule hizi nmekaa nazo mwaka mzima hazjawahi sumbua kitu chochote sema zimepotea juzi nimeamua kuagiza earbuds flani hv za qcy niliona reviews watu wanasema ni nzuri sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
posta wasumbufu sana Bro hasa swala la mizigo iliyopotea hawajishughulishi kabisa watakuzungusha mpk ukate tamaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sina uhakika kama hizi earphone zinaweza kushinda earphone za xiaomi labda hizi kwamba ni bei nafuu tu lakin trust me Bro xiaomi wana earphone nzuri sana na nyingi lakini ni bei kidogo tofaut na hzi

Sent using Jamii Forums mobile app
Braza earphone za xiaomi tushatumia,hawafati rock mzee...muulze jamaa anaitwa Utakuja ni member humu akusimulie sound ya rock..

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
 
Nilikuwa natumia Nokia Lumia 1320 ina gorilla glass 3... Nimetumia mwaka mzima bila kuweka pretector lkn haijawahi kuchubuka hata. Hizo gorilla glass zina matoleo tofauti tofauti. Pia kitu kingine nilichokuwa na-enjoy ni kuweza kuchat au kutumia cm hata nikiwa juani maana naona vizuri kabisa sina haja ya kuweka mkono kwa juu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Braza earphone za xiaomi tushatumia,hawafati rock mzee...muulze jamaa anaitwa Utakuja ni member humu akusimulie sound ya rock..

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
earphone ipi ya xiaomi ambayo ulitumia ww bro?...hizi rock nmetoka kuziangalia nmegundua ni bei nafuu tu na pia ata order zake ni chache sana labda zinasound zuri sawa ila muonekano wake mbovu mzee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi simu zangu napendaga kutumia bila glass wala cover naenjoy muonekano wa simu ata nikikuta na protector huwa nang'oa...kwny swala la uchubukaji nafikiri ni utunzaji wako tu schanganyi simu na coins wala ktu chochote kigumu na kioo huwa hakchubuki sipingani na hoja ya jamaa kua vumbi linachubua kioo...lakini huu ni upendeleo wangu tu situmia glass wala covers

Sent using Jamii Forums mobile app
 
earphone ipi ya xiaomi ambayo ulitumia ww bro?...hizi rock nmetoka kuziangalia nmegundua ni bei nafuu tu na pia ata order zake ni chache sana labda zinasound zuri sawa ila muonekano wake mbovu mzee

Sent using Jamii Forums mobile app
Issue ya muonekano ni ww unavochukulia tu...

Xiaomi nilizowah test ni zile hybrid za mwanzo kuna mwanangu alkua nazo...

Experiance inayotoka mweny rock zircon sikuipata mule..I wish ungekua karbu usikie sound ya rock mkuu..

Juzi mwanangu mmoja aliomba azitest,,pale pale ikabid aagize aliexpress.

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
 
Haina shida mkuu...Fanya hivyo

We unatumia zipi saiz?

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
nimepoteza Mi capsule juzi kati kama unazifahamu saiv nimeagiza wireless earphone flan hv za qcy nlikutana nazo kwenye flash deal alf zilkua na order nyng sana na review nzuri nkaamua nzchukue ndo naziwait kwa sasa natumia tu earphone za kawaida hizi za bku5 5 tu while nasubria hzo earbuds

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…