Inategemea umetumia njia gani ya shipping...Sasa hv kodi ni lazima mimi nilinunua simu ya dola 99 seller akaandika dola 58 tra wakasema nioneshe kwenye simu nikamwambia nimeacha simu wakaandika kodi ya dola 58 ambayo ni 27400 janga lakini kuna afadhali bado
Sent using Jamii Forums mobile app
Njia ipi mkuu?
Itakuwa mzigo umekuja kwa EMSSasa hv kodi ni lazima mimi nilinunua simu ya dola 99 seller akaandika dola 58 tra wakasema nioneshe kwenye simu nikamwambia nimeacha simu wakaandika kodi ya dola 58 ambayo ni 27400 janga lakini kuna afadhali bado
Sent using Jamii Forums mobile app
Njia ipi mkuu?
Maana nijuavyo posta wanachaji ushuru wa stamp haizidi buku 5
Walikupa receipt?Ushuru wa stamp tofauti na kodi. Pale kuna TRA so walikuwa hawazingatii sasa hv wanakomoa kwa parcel kubwa ikiwa mzigo mdogo una dirisha lake na hautozwi chochote
Sent using Jamii Forums mobile app
Walikupa receipt?
Mimi nimeagiza simu na mi power bank nategemea kupokea 17/2/Ndio nikaenda lipia kwa Wakala nje na sio Mm tu nilipokwenda niliwakuta wengine pia. Hasa ukitumiwa msg mzigo wako umeandika ( mf. RDP 152) ujue kodi inakuhusu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nimeagiza simu na mi power bank nategemea kupokea 17/2/
So nitaleta feedback pia tutapata feedback toka kwa wengine.
Mkuu MI power bank umeagiza store gani, maana nimezitafuta bila mafanikio. Unaweza kunipatia link,...Mimi nimeagiza simu na mi power bank nategemea kupokea 17/2/
So nitaleta feedback pia tutapata feedback toka kwa wengine.
Mkuu ujue DHL in salama zaidi kuliko posta ila tumewakimbia kukwepa gharama!!Ushuru wa stamp tofauti na kodi. Pale kuna TRA so walikuwa hawazingatii sasa hv wanakomoa kwa parcel kubwa ikiwa mzigo mdogo una dirisha lake na hautozwi chochote
Sent using Jamii Forums mobile app
Nikienda posta huwa naona watu walioagiza mizigo wanaambiwa waende TRA. Lakini mizigo niliyochukua recent sijalipia kodi,... Ni simu za mkononi pamoja WiFi router.Ndio nikaenda lipia kwa Wakala nje na sio Mm tu nilipokwenda niliwakuta wengine pia. Hasa ukitumiwa msg mzigo wako umeandika ( mf. RDP 152) ujue kodi inakuhusu
Sent using Jamii Forums mobile app
Makato ya posta ni VAT only, but hao DHL wanamakato mengi sana, simu ya $100 tax na custom duties infaka laki na zaidi.Mkuu ujue DHL in salama zaidi kuliko posta ila tumewakimbia kukwepa gharama!!
Kama TRA wameanza kutukomoa huko posta natabiri soon tutaacha kulipia masanduku na kuhamia DHL,FEDEX etc
Maximum mzigo ndani ya siku kumi unakuwa upo nchini, pia inategemea na kasi ya watu wa clearance pale JNIA, unaweza kufika mapema zaidi.Aliewahi kuagiza mzigo kwa banggood kwa kutumia EMS...hv huwa inachukua mda gani mzigo kufika?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nikienda posta huwa naona watu walioagiza mizigo wanaambiwa waende TRA. Lakini mizigo niliyochukua recent sijalipia kodi,... Ni simu za mkononi pamoja WiFi router.
MIUI ni customized Android inayowekwa kwenye simu nyingi za Xiaomi.
Makato ya posta ni VAT only, but hao DHL wanamakato mengi sana, simu ya $100 tax na custom duties infaka laki na zaidi.
US $23.99 10%OFF | Original Xiaomi Mi Power Bank 2i 10000mAh External Battery Charger Dual USB 10000 PLM09ZM 18W Quick Charge Output For Phone https://s.click.aliexpress.com/e/btwLDd7aMkuu MI power bank umeagiza store gani, maana nimezitafuta bila mafanikio.
Unaweza kunipatia link,...