Jamaa kala kona!!!Tuwekee hapa hiyo tecno unayoona ya bei rahisi tulinganishe.
Kwa taarifa yako Techno mnauziwa bei ghali kuliko Xiaomi
Tuko same asee nashindwa kabisa pia.Mkuu hii feature nimekuwa addicted nayo kwasasa nashindwa kutumia zile navigation key za chini. Huwa na weka full screen mode. Natumia hiyo gesture.
SangaweJr
Yap, wameweka hizi navigation gestures hili mtu upate urahisi wa kutumia simu kwa mkono mmoja, maana kwa ukubwa wa screen za simu za sasa hivi mtu unakuwa hauwezi kutumia simu kwa mkono mmoja.Mkuu hii feature nimekuwa addicted nayo kwasasa nashindwa kutumia zile navigation key za chini. Huwa na weka full screen mode. Natumia hiyo gesture.
SangaweJr
Tuma na hela ya balimi mbili kwenye namba hii0693057605ALIE ANZISHA HUU UZI NDIE ALIFANYA NIIJUE HII BRAND YA XIAOMI. SINCE HAPO SIJAWAHI KUJUTA WALA KUMSUMBUA Chief-Mkwawa Simu imetulia nilianza na Mi A1 kuna jamaa akafika bei now namiliki Note 6 Pro.
Awali nilikua na mawazo Kama wewe ila baada ya jamaa kuniazimisha niitumie xiaom kwa wiki 1 nilimganda aniachie yaani xiaom ni balaa na akanifundisha kutafuta simu online hadi Sasa naenjoy xiaom.Tatizo bei
Bado TECNO ataendelea kukimbiza kwa Africa
Kwa Asia yupo HUAWEI
Awali nilikua na mawazo Kama wewe ila baada ya jamaa kuniazimisha niitumie xiaom kwa wiki 1 nilimganda aniachie yaani xiaom ni balaa na akanifundisha kutafuta simu online hadi Sasa naenjoy xiaom.
Nilichogundua ni kwamba xiaom cheap Sana then nzuri saaana kuliko tecno.ukibena tecno utafikiri umebena kufuri ya shaba.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tecno kuna hadi za laki moja na ndo uwezo wa watu wengiTuwekee hapa hiyo tecno unayoona ya bei rahisi tulinganishe.
Kwa taarifa yako Techno mnauziwa bei ghali kuliko Xiaomi
Tecno kuna hadi za laki moja na ndo uwezo wa watu wengiTuwekee hapa hiyo tecno unayoona ya bei rahisi tulinganishe.
Kwa taarifa yako Techno mnauziwa bei ghali kuliko Xiaomi
Tecno kuna hadi za laki moja na ndo uwezo wa watu wengiTuwekee hapa hiyo tecno unayoona ya bei rahisi tulinganishe.
Kwa taarifa yako Techno mnauziwa bei ghali kuliko Xiaomi
Hata Xiaomi wame launch low-end za bei chee, Xiaomi Redmi GoTecno kuna hadi za laki moja na ndo uwezo wa watu wengi
Vile Vile tecno zinapatikana kirahisi
Hizi bei gani na zinapatinajeHata Xiaomi wame launch low-end za bei chee, Xiaomi Redmi Go
View attachment 1015202View attachment 1015203View attachment 1015204
Wame launch mwezi uliopita, haijaingia sokoni, ila itakuwa chini ya laki mbili.Hizi bei gani na zinapatinaje
Tecno kuna hadi za laki moja na ndo uwezo wa watu wengi
Vile Vile tecno zinapatikana kirahisi
Hahahah dah hilo Dongo hapana.S2 hizo hata mkeo ukimpelekea hawezi tumia simu inakuja ishaajaa memory hiyo nayo smartphone?
Sent using Jamii Forums mobile app
S2?S2 hizo hata mkeo ukimpelekea hawezi tumia simu inakuja ishaajaa memory hiyo nayo smartphone?
Sent using Jamii Forums mobile app