Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Nimetumia Xiaomi Redmi note 7 ni simu nzuri kimwonekano ila shida yake Camera siyo nzuri sana kama Huawei P20..
IMG-20190416-WA0006.jpeg
 
Wakuu naomba msaada wenu, kwanza awali ya yote mtanisamehe kwani ntakuwa nje ya mjadala wa uzi huu.
Nina shida ya kujua kwa hapa kwetu napata wapi hii kitu Intel[emoji2400] Neural Compute Stick au Intel[emoji2400] Neural Compute Stick 2 kwa hapa kwetu bei ni sh ngapi au kwa kuagizia itanigharimu kiasi gani mpaka inanifikia

0654444064
182_5-768x432.jpeg
41VBf1zLS4L._AC_SY400_.jpeg
 
Wakuu naomba msaada wenu, kwanza awali ya yote mtanisamehe kwani ntakuwa nje ya mjadala wa uzi huu.
Nina shida ya kujua kwa hapa kwetu napata wapi hii kitu Intel[emoji2400] Neural Compute Stick au Intel[emoji2400] Neural Compute Stick 2 kwa hapa kwetu bei ni sh ngapi au kwa kuagizia itanigharimu kiasi gani mpaka inanifikia

0654444064
View attachment 1077215View attachment 1077216
Kwa bei ya online TZS 270,590.1
IMG-20190421-WA0000.jpeg
-7765231831643394.jpeg
 
Guys niliagiza Xiaomi Note 7 Pro ila nimeletewa version ya Kichina haina Google playstore But niliipeleka Vodacom wakaweza niwekea app fulani ambayo naweza kupata hizi app za kwenye google playstore naitumia ila siinjoy sana.. tatizo langu lingine sikuletewa na Screen protector wala headphones [emoji442] nimejaribu kutafuta hapa dsm sijapata.. yoyote mwenye idea wa kupata hivi vitu pls advice
 
Kuna jinsi ya kuweka playstore kwenye simu boss hilo sio swala,pia kuhusu protector agiza nje na earphone agiza nje au nunua yeyote ile.
 
Samahani natoka nje ya mada. External ya toshiba 1TB inaweza kuwa bei gan nkiagiza mpka naipata mkononi
 
Kama ulipata guts za kuagiza au kuagiziwa ulitakiwa uwe unafahamu haya yote mkuu....kimsingi Xiaomi hawashio protector wala earphones katika unit unayopurchase labd uviadd hivyo vitu kwa extra cost au uagize kwa seller mwingine.....kuhusu playstore....come on maaan![emoji41][emoji41][emoji28]
Guys niliagiza Xiaomi Note 7 Pro ila nimeletewa version ya Kichina haina Google playstore But niliipeleka Vodacom wakaweza niwekea app fulani ambayo naweza kupata hizi app za kwenye google playstore naitumia ila siinjoy sana.. tatizo langu lingine sikuletewa na Screen protector wala headphones [emoji442] nimejaribu kutafuta hapa dsm sijapata.. yoyote mwenye idea wa kupata hivi vitu pls advice
 
Kuna jinsi ya kuweka playstore kwenye simu boss hilo sio swala,pia kuhusu protector agiza nje na earphone agiza nje au nunua yeyote ile.
Mkuu nitaomba msaada wako mi nina MI 5X kuhusu kuweka hiyo playstore .
 
Back
Top Bottom