Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Sasa mzee mimi nimetoka kwenye tecno hii redmi note 7 kutoa utofauti toka kwenye tecno ni matusi

Ila kiufupi mambo yangu sasa ni rahisi mno na shemeji zako wamenipandisha vyeo kabisa kabisa
Mimi nimekuuliza kwa nia nzuri mzee! Wala sina nia ya kuifananisha na Tecno.
 
[emoji3][emoji3] Ndugu mi shida yangu ilikua kamera, memory na storage hizo mambo ndo inanipaisha hii note 7, kubrowse ni laini sana mzee
Aisee! Hata mm nikiwa na Xiaomi yangu, shemeji zako wanapokezana tu kujiselfi.
 
Gwuap msaada wako wa haraka jinsi ya kuweka play store unahitajika.
Njia nyepesi kbs na ya haraka nenda kwenye app store ya Xiaomi ipo hapo katka apps then search neno Google install hyo app yenye rangi rangi na alama ya playstore baada ya hapo ifungue bonyeza kwenye dot cha blue kama ilvoonyesha chini itainstall apps muhimu za Google, framework na mwisho playstore...hakikisha una mb zakutosha na network ilyo nzuri pindi ukianza kuinstall hizo app
Screenshot_2019-04-23-15-43-51-461_com.xiaomi.market.jpg
 
Sasa mzee mimi nimetoka kwenye tecno hii redmi note 7 kutoa utofauti toka kwenye tecno ni matusi

Ila kiufupi mambo yangu sasa ni rahisi mno na shemeji zako wamenipandisha vyeo kabisa kabisa
Sorry Mkuu,ila una kaushamba flani hivi Amaizing[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]
Anyway nimesoma reply zako,unatakiwa Ujibu kiuweredi sana ,ila tuelewe na sisi tuagize au kuagiziwa hii Brand pendwa XIAOMI
Huu uzi unafuatiliwa na watu zaidi ya 4M ,tuna mengi ya kujifunza,usijibu juu juu kujifurahisha
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji4]
 
Kitu gani zaidi unataka kujua ndugu

General performance ya simu
Kustahimili kukaa na chaji,multitasking (Haichemki?) ,ubora wa camera N.k

But kuna Reply yako nimesoma hapo juu ,umesema umeangalia vitu vichache sana kwenye hiyo simu
Sisi ma SUPER USER tunaotumia simu mda wote ,kuna vitu tumekosa kutoka kwako,anyway ,enjoy mkuu
[emoji122][emoji818]
 
Kamera iko vizuri sana MP 48 Si haba, hata usiku nachukua picha clear

Ni 4G Internet iko na kasi

Simu haichemki kabisa mkuu labda mbeleni ila kwa sasa iko poa

Inakaa na chaji mimi 70% ya siku yangu nategemea simu, nikiamka nayo asubuhi iko full hapo nitapokea na kupiga simu, nitabrowse, nitapiga mapicha ya hapa na pale, kiufupi kwa kazi zangu simu iko mkononi muda wote kuja kuchaji tena hadi saa 11 jioni

Simu ipo faster
General performance ya simu
Kustahimili kukaa na chaji,multitasking (Haichemki?) ,ubora wa camera N.k

But kuna Reply yako nimesoma hapo juu ,umesema umeangalia vitu vichache sana kwenye hiyo simu
Sisi ma SUPER USER tunaotumia simu mda wote ,kuna vitu tumekosa kutoka kwako,anyway ,enjoy mkuu
[emoji122][emoji818]
 
Ila Xiaomi bhna kila unapopita lazima uulizwe hii mashine gani mtu akishika lazima ahutaji kujua kuna jamaa alitaka kunivua ila nikamkataa kiufupi najikuta niko very unique kila napokuwa na hii simu.
 
Wangejua hizo simu tunazisotea hatari kuzipata,... Eti mtu anakuja "Mr. Mobile niuzie simu yako" si kirahisi rahisi labda niuze kwa bei ya kupaa. Nasisitiza tena hizi simu tunazisotea kuzipata.
 
Mm bado nina chuma cha mkulima redmi 4x hawa jamaa ni Kiboko tena Kiboko toka 2017 ninayo camera safi miui huu uchawi hatari seconds space Duall app [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hahaha hii second space inatusaidia asee dah Na hapa kwenye Dual Apps ndo kabisa haya matakataka ma gb whatsapp sijui hamnaga haja
 
Ila Xiaomi bhna kila unapopita lazima uulizwe hii mashine gani mtu akishika lazima ahutaji kujua kuna jamaa alitaka kunivua ila nikamkataa kiufupi najikuta niko very unique kila napokuwa na hii simu.
Kama mimi....

Hii yangu ni Mi 5s plus, yani sijaichokaa.

Nataka niagize Mi 8 plus.
 
Hizo mi series mnaziweza nyie Watu wenye hela zao!!
Sie wasaka tonge tunaishia kwenye redmi series
Mkuu kumbe mi series ni zaidi ya Redmi series
Mbona mimi ni Redmi ila naona features nimempiku huyo wa mi 8
Je uzaidi wa mi 8 kwa redmi note 7 ni upi

Naomba unieleweshe mkuu kabla sijabadili maamuzi ya kutafuta mi series
 
Back
Top Bottom