Mr. Mobile
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 1,439
- 1,633
Hakuna Redmi Note 7 yenye specs kama hizo, labda kama ni Redmi 7hiv mkuu hakuna redmi note 7 yenye 2gb ram 16gb rom.....kama ipo ni shingap??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna Redmi Note 7 yenye specs kama hizo, labda kama ni Redmi 7hiv mkuu hakuna redmi note 7 yenye 2gb ram 16gb rom.....kama ipo ni shingap??
Mimi nimekuuliza kwa nia nzuri mzee! Wala sina nia ya kuifananisha na Tecno.Sasa mzee mimi nimetoka kwenye tecno hii redmi note 7 kutoa utofauti toka kwenye tecno ni matusi
Ila kiufupi mambo yangu sasa ni rahisi mno na shemeji zako wamenipandisha vyeo kabisa kabisa
Aisee! Hata mm nikiwa na Xiaomi yangu, shemeji zako wanapokezana tu kujiselfi.Sasa mzee mimi nimetoka kwenye tecno hii redmi note 7 kutoa utofauti toka kwenye tecno ni matusi
Ila kiufupi mambo yangu sasa ni rahisi mno na shemeji zako wamenipandisha vyeo kabisa kabisa
Aisee! Hata mm nikiwa na Xiaomi yangu, shemeji zako wanapokezana tu kujiselfi.
Njia nyepesi kbs na ya haraka nenda kwenye app store ya Xiaomi ipo hapo katka apps then search neno Google install hyo app yenye rangi rangi na alama ya playstore baada ya hapo ifungue bonyeza kwenye dot cha blue kama ilvoonyesha chini itainstall apps muhimu za Google, framework na mwisho playstore...hakikisha una mb zakutosha na network ilyo nzuri pindi ukianza kuinstall hizo appGwuap msaada wako wa haraka jinsi ya kuweka play store unahitajika.
Sorry Mkuu,ila una kaushamba flani hivi Amaizing[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa mzee mimi nimetoka kwenye tecno hii redmi note 7 kutoa utofauti toka kwenye tecno ni matusi
Ila kiufupi mambo yangu sasa ni rahisi mno na shemeji zako wamenipandisha vyeo kabisa kabisa
Sorry Mkuu,ila una kaushamba flani hivi Amaizing[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]
Anyway nimesoma reply zako,unatakiwa Ujibu kiuweredi sana ,ila tuelewe na sisi tuagize au kuagiziwa hii Brand pendwa XIAOMI
Huu uzi unafuatiliwa na watu zaidi ya 4M ,tuna mengi ya kujifunza,usijibu juu juu kujifurahisha
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji4]
General performance ya simuKitu gani zaidi unataka kujua ndugu
General performance ya simu
Kustahimili kukaa na chaji,multitasking (Haichemki?) ,ubora wa camera N.k
But kuna Reply yako nimesoma hapo juu ,umesema umeangalia vitu vichache sana kwenye hiyo simu
Sisi ma SUPER USER tunaotumia simu mda wote ,kuna vitu tumekosa kutoka kwako,anyway ,enjoy mkuu
[emoji122][emoji818]
Sahihi.Ila Xiaomi bhna kila unapopita lazima uulizwe hii mashine gani mtu akishika lazima ahutaji kujua kuna jamaa alitaka kunivua ila nikamkataa kiufupi najikuta niko very unique kila napokuwa na hii simu.
Ila Xiaomi bhna kila unapopita lazima uulizwe hii mashine gani mtu akishika lazima ahutaji kujua kuna jamaa alitaka kunivua ila nikamkataa kiufupi najikuta niko very unique kila napokuwa na hii simu.
Tena dau nono kweli! Kuna kipindi mtu unaisubiri simu zaidi ya wiki 4, halafu uiuze bei chee! Itakuwa ni utani.Sahihi.
Kuivua unaivua ila kwa dau nono
Yaani p20 ya milioni na ushee wanataka ifanane camera na redmi note 7 ya laki 5!!!
Wangejua hizo simu tunazisotea hatari kuzipata,... Eti mtu anakuja "Mr. Mobile niuzie simu yako" si kirahisi rahisi labda niuze kwa bei ya kupaa. Nasisitiza tena hizi simu tunazisotea kuzipata.
Hahaha hii second space inatusaidia asee dah Na hapa kwenye Dual Apps ndo kabisa haya matakataka ma gb whatsapp sijui hamnaga hajaMm bado nina chuma cha mkulima redmi 4x hawa jamaa ni Kiboko tena Kiboko toka 2017 ninayo camera safi miui huu uchawi hatari seconds space Duall app [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kama mimi....Ila Xiaomi bhna kila unapopita lazima uulizwe hii mashine gani mtu akishika lazima ahutaji kujua kuna jamaa alitaka kunivua ila nikamkataa kiufupi najikuta niko very unique kila napokuwa na hii simu.
Hizo mi series mnaziweza nyie Watu wenye hela zao!!Kama mimi....
Hii yangu ni Mi 5s plus, yani sijaichokaa.
Nataka niagize Mi 8 plus.
Ila kiukweli,Hizo mi series mnaziweza nyie Watu wenye hela zao!!
Sie wasaka tonge tunaishia kwenye redmi series
Mkuu kumbe mi series ni zaidi ya Redmi seriesHizo mi series mnaziweza nyie Watu wenye hela zao!!
Sie wasaka tonge tunaishia kwenye redmi series