The Humble Dreamer
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 7,574
- 10,598
Thanks for that...nimeanza kufatlia hiz Xiaomi baada ya kuona maelezo unayotolea, nimeona reviews had jana usiku za Mi 9 nikaikubal sana.
Hii Oneplus 7 au 7pro nahic zitakua ghali hiv kias chake. Sema uzur wa Oneplus bei zao hazipo juu kivile so hata hiyo nahic haitafikia bei za S10+
Hii Oneplus 7 au 7pro nahic zitakua ghali hiv kias chake. Sema uzur wa Oneplus bei zao hazipo juu kivile so hata hiyo nahic haitafikia bei za S10+
Hapo kwa haraka haraka bila ya kupepesa macho chukua Mi 9, sababu ni flagship ya mwaka huu overall ipo vema zaidi katika vitu vingi, kuanzia chipset, camera, built quality, nk. Na Hizo nyingine zote ni flagships za mwaka jana kwahivyo zimepitwa vitu vingi na Mi 9. Kama Xiaomi iweke Mi 8 au Mi Mix 3 ndio level ya hizo nyingine.
Kama unaweza kusubiri kidogo hadi May 14 subiria "real flagships killer" OnePlus 7 Series.
View attachment 1083913