ymollel
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 3,096
- 2,287
Kwa 300K utapata Redmi 8Budget ya 300k napata xiaom redmi note 8 mpya wakuu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa 300K utapata Redmi 8Budget ya 300k napata xiaom redmi note 8 mpya wakuu?
specification mkuu zipoje za hyo googleGoogle realme x, ukiipenda nnayo nimetumia wiki tu, niliagiza mwezi wa pili ikachelewa sana, nikakata tamaa nikanunua simu nyingine mjini , wiki iliyopita nikaitwa posta nikaichukue , ss sina ishu nayo kivile
Sent
Daah hii nayo nzuri ila nmeitaka redmi note 8 kwa sababu ya camera hii naona ina mp chache
Sorry nilikuwa namaanisha u google !!kama kuna anaeuza xiaomi redmi note 8 anitafute wakuu namba zangu 0748316119
specification mkuu zipoje za hyo google
specs zake vp mkuu tufanye biasharaSorry nilikuwa namaanisha u google !!
Simi Ni oppo realme x
Sent
Cheki na jamaa wanaitwa Nas mobile..bnfs nimenunua kwao redmi note 8 na wamenitumia J5 wiki hii..Wana page Yao Instagram kwa jina Hilo..if bado upo interested mkuukama kuna anaeuza xiaomi redmi note 8 anitafute wakuu namba zangu 0748316119
specification mkuu zipoje za hyo google
Sawa mkuu ngoja niwacheki insta.Cheki na jamaa wanaitwa Nas mobile..bnfs nimenunua kwao redmi note 8 na wamenitumia J5 wiki hii..Wana page Yao Instagram kwa jina Hilo..if bado upo interested mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Humu jf kuna kitu kinaitwa bei rahisi,ila haifahamiki ni shingapi.
Walikuuzia kwa sh ngapi?Cheki na jamaa wanaitwa Nas mobile..bnfs nimenunua kwao redmi note 8 na wamenitumia J5 wiki hii..Wana page Yao Instagram kwa jina Hilo..if bado upo interested mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo bei si reasonable kwa hiyo simu.Wakuu nimevutiwa sana na hii kampuni kwa namna ilivyo pigiwa sana chapuo sasa naomba msaada nimevutiwa na hii Xiaomi Redmi 8 64 GB bei wanasema 450000 msaada wa mawazo na utaalam je simu na bei vyaendana?!. Natanguliza shukrani
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kwa uwezo wa hiyo simu bei kubwa sana. Ingekuwa usafiri wa ndege upo sawa, ningekushauri uagize Redmi Note 8, na vichenchi vingebaki ununue hata earphones na protector [emoji23]Sijaelewa mkuu kizungu wengine chenga
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kwa uwezo wa hiyo simu bei kubwa sana. Ingekuwa usafiri wa ndege upo sawa, ningekushauri uagize Redmi Note 8, na vichenchi vingebaki ununue hata earphones na protector [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Bei yangu kama nikikuagizia mm nakupa kwa laki nne kamili.Ahsante sana mkuu sasa hiyo note 8 ndo bei gani?
Sent from my iPhone using JamiiForums
Partager sur WhatsAppMkuu hebu ni pm namba yako tuyajenge kaka
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mkubwa habar yako naweza kupata kwl xiaomi kwa 300k??Hello wanajukwaa natumai ni wazima wa afya!
Nachukua fursa hii kuomba wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja, utundu na yale yote yaliyomo ndani ya simu hizi na bidhaa zingine za kampuni ya xiaomi.
BINAFSI natumia xiaomi redmi note 4 simu iko vizuri for affordable price.
KARIBUNI