Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Budget ya 300k napata xiaom redmi note 8 mpya wakuu?
Kwa 300K utapata Redmi 8
Screenshot_20200521-192634.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kama kuna anaeuza xiaomi redmi note 8 anitafute wakuu namba zangu 0748316119
Google realme x, ukiipenda nnayo nimetumia wiki tu, niliagiza mwezi wa pili ikachelewa sana, nikakata tamaa nikanunua simu nyingine mjini , wiki iliyopita nikaitwa posta nikaichukue , ss sina ishu nayo kivile

Sent
specification mkuu zipoje za hyo google
 
kama kuna anaeuza xiaomi redmi note 8 anitafute wakuu namba zangu 0748316119

specification mkuu zipoje za hyo google
Sorry nilikuwa namaanisha u google !!
Simi Ni oppo realme x

Sent
 
Wakuu nimevutiwa sana na hii kampuni kwa namna ilivyo pigiwa sana chapuo sasa naomba msaada nimevutiwa na hii Xiaomi Redmi 8 64 GB bei wanasema 450000 msaada wa mawazo na utaalam je simu na bei vyaendana?!. Natanguliza shukrani

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hiyo bei si reasonable kwa hiyo simu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
natumia MI PLAY sasa hii ndo note ngapi iko na 4 ram na internal memory ya 64 gb
 
Hello wanajukwaa natumai ni wazima wa afya!

Nachukua fursa hii kuomba wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja, utundu na yale yote yaliyomo ndani ya simu hizi na bidhaa zingine za kampuni ya xiaomi.

BINAFSI natumia xiaomi redmi note 4 simu iko vizuri for affordable price.

KARIBUNI
Mkubwa habar yako naweza kupata kwl xiaomi kwa 300k??
 
Hodi humu....
Wadau ninampango wa kuagiza xiaomi redimi 8 kwa bei nimeambiwa ni RMB 1000 Sawa kama na 345k TSH ivi je ni valid??....
Naomba pia ushauri kuhusu earphones kali yenye mkito wa maana na bei zake.

Ahsanteni
 
Back
Top Bottom