Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

wakuu nisaidieni kuhusu hii simu,kiukweli nmetokea kuipenda mwonekano wake.Vipi uwezo wake kwenye upande wa software mbalimbali na hata utunzaji wa chaji?
Screenshot_2020-12-20-15-25-18.jpg
 
HATIMAYE NIKO NA SIMU YANGU MPYA AMBAYO NILIINUNUA KWA LENGO LA KUFUATA CHINESE VERSION YA XIAOMIHAWA JAMAA WANAJUA SANA AISEE[emoji122][emoji122][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]
 
HATIMAYE NIKO NA SIMU YANGU MPYA AMBAYO NILIINUNUA KWA LENGO LA KUFUATA CHINESE VERSION YA XIAOMIHAWA JAMAA WANAJUA SANA AISEE[emoji122][emoji122][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]
Xiomi wanajua sna !!

Sijafikilia kuchukua kampuni nyingine Kwa sasa

Mtu akija Xiomi hakika uchomoki
Screenshot_2020-12-26-07-35-13-794_lockscreen.jpeg
 
Mkuu Xiomi katoa mnyama mwingine Mi 11
[emoji28][emoji28][emoji28]

Hatari sna ila ata ukiwa na Mi 10 T pro

Utakua umetisha sna
Huyo mi 11 ngoja apoe ngoja o
Mkuu Xiomi katoa mnyama mwingine Mi 11
[emoji28][emoji28][emoji28]

Hatari sna ila ata ukiwa na Mi 10 T pro

Utakua umetisha sna
Huyo Mi 11 ngoja apoe ,nifocus kwa Mi 10
 
Back
Top Bottom