Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[ Hakika ni kweli mkuu Xiaomi wamejitahidiHizi simu tunaenjoy
Wapi wanauza hii?wakuu nisaidieni kuhusu hii simu,kiukweli nmetokea kuipenda mwonekano wake.Vipi uwezo wake kwenye upande wa software mbalimbali na hata utunzaji wa chaji?View attachment 1655195
Chief Mkwawa Nimejaribu kununua ila wanasema poco store haiship kuja tanzania. Nimejaribu kuangalilia kama nitapata kwenye store nyingine nimekosa. Naomba mwongozo wako, Ijumaa nyeusi ndio inaisha hivyo
Mkuu mzigo bado upo?Redmi 9A
32gb, 2gb RAM
Bei ya kuuza 250,000
Napatikana Kariakoo DSM
Contact 0625 54 77 67 View attachment 1597664View attachment 1597665View attachment 1597667View attachment 1597666
Kipya gani mkuu tujumuike ? Aina gani?HATIMAYE NIKO NA SIMU YANGU MPYA AMBAYO NILIINUNUA KWA LENGO LA KUFUATA CHINESE VERSION YA XIAOMIHAWA JAMAA WANAJUA SANA AISEE[emoji122][emoji122][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]
Xiomi wanajua sna !!HATIMAYE NIKO NA SIMU YANGU MPYA AMBAYO NILIINUNUA KWA LENGO LA KUFUATA CHINESE VERSION YA XIAOMIHAWA JAMAA WANAJUA SANA AISEE[emoji122][emoji122][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]
Kipya gani mkuu tujumuike ? Aina gani?
Theme gan hii mkuuXiomi wanajua sna !!
Sijafikilia kuchukua kampuni nyingine Kwa sasa
Mtu akija Xiomi hakika uchomokiView attachment 1663970
Ila haina chaja mkuuMkuu Xiomi katoa mnyama mwingine Mi 11
[emoji28][emoji28][emoji28]
Hatari sna ila ata ukiwa na Mi 10 T pro
Utakua umetisha sna
Huyo mi 11 ngoja apoe ngoja oMkuu Xiomi katoa mnyama mwingine Mi 11
[emoji28][emoji28][emoji28]
Hatari sna ila ata ukiwa na Mi 10 T pro
Utakua umetisha sna
Huyo Mi 11 ngoja apoe ,nifocus kwa Mi 10Mkuu Xiomi katoa mnyama mwingine Mi 11
[emoji28][emoji28][emoji28]
Hatari sna ila ata ukiwa na Mi 10 T pro
Utakua umetisha sna
Ila haina chaja mkuu
Huyo mi 11 ngoja apoe ngoja o
Huyo Mi 11 ngoja apoe ,nifocus kwa Mi 10
NI optional uchague ije na chaja au au isije nayoIla haina chaja mkuu
anabei sawa na bure 1.5Huyo mi 11 ngoja apoe ngoja o
Huyo Mi 11 ngoja apoe ,nifocus kwa Mi 10
Kwa specifications zake kweli ni reasonable price.anabei sawa na bure 1.5