Ertugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 14,705
- 30,041
Wewe ni kizee cha Dar?View attachment 3519333
My people,
Hawa watu wasio itakia meme nchi yetu wanajikuta katika mtego ufuatao
Kwanza wakiandamana kuna uwekezakano wa kuingia mwaka 2026 wakiwa selo au hospitalini wakijiuguza,kwahiyo watakuwa wamejichagulia wenyewe wauanze vipi mwaka
Na wasipoandamana basi ndio itakuwa mwisho wa mikakati yao hiyo,kwani watapuuzwa na kudharauliwa kabisa,kwa maana hakuna mtu atakaye waapa kipaumbele tena
Ikumbukwe vile vile kuna wafanya fujo na waharibu amani ya nchi hii wanafaili lao huko korokoroni walipo sekwa kwa mara ya mwisho,hawa wakikutwa tena wanaleta vurugu na fujo kwa mara pili,wataonekana ndio vinara wa machafuko na mwisho wao utakuwa mbaya
Kwahiyo kwa kifupi hawa wafanya fujo na waleta vurugu wa nchi hii wamejikuta kwenye mode ya ukisimama nchale na ukikaa nchale
Kwa upande mwingine tofauti na siku za nyuma ambazo tumezoea kuwaona wana usalama mapema mabarabarani na kwenye vituo vya mwendo kasi,hivi Sasa hali ni tofauti,mpaka asubuhi hii naandika huu uzi sijawaona hawa wadau
Huenda wameona hakuna tishio la hawa wapuuzi,ndio maana this time hawaja lichukulia hili jambo very seriously
Au wanakuja na mpango ambao utawashangaza wale wote ambao watajifanya kichwa ngumu na kujaribu kutia ngoko zao barabarani
Tufanye subira muda ni mwalimu mzuri sana, vijana mmebakiwa na siku mbili tu,leo na kesho kufanya maamuzi sahihi,maamuzi ambayo yatakuokoa wewe dhidi ya matatizo pamoja na kuiweka familia yako mbali na matatizo
Maisha yenyewe haya ni magumu,halafu badala ya ndugu zako kupambana na kuongeza uchumi wao,wewe ulivyo mpuuzi unataka wahangaike kukutibia au kukutoa selo
Grow up young men, epuka mambo yote ambayo yatakusababishia matatizo,okoa kiwiliwili chako na okoa uhai wako
Amani ni tunu yetu basi tuilinde kwa wivu mkubwa sana
Wasalaam,
Ni hayo tu!
Nitafanya hivyoKwa kuwa wewe huwezi kuleta vurugu,siku zikitokea hizo vurugu basi ukae tu ndani siku hiyo umvalie kanga moja basha wako,umpikie na kumpa unyumba
NaamWewe ni kizee cha Dar?
Aibu pekee ambayo wataipata dola ni kama wakifunga internet, kwasababu haituathiri sisi tu wananchi bali pamoja watu wa mataifa mengine na shughuli za uchumi kukwamaKama nimekuelewa, yaani hata Dola haielewi ifanye nini kuhusu hilo. Maana wakifunga nchi aibu, wakiyatoa majeshi kupigwa na jua aibu, wakiyaficha ndani majeshi aibu, wakitoa matamko aibu....
Solution ni kuwatumia vyawa wa mitandaoni kama wewe baada ya MASHEIKH uchwara kutupwa chooni kama toilet paper.
RISASI HUJIBIWA KWA RISASIView attachment 3519333
My people,
Hawa watu wasio itakia meme nchi yetu wanajikuta katika mtego ufuatao
Kwanza wakiandamana kuna uwekezakano wa kuingia mwaka 2026 wakiwa selo au hospitalini wakijiuguza,kwahiyo watakuwa wamejichagulia wenyewe wauanze vipi mwaka
Na wasipoandamana basi ndio itakuwa mwisho wa mikakati yao hiyo,kwani watapuuzwa na kudharauliwa kabisa,kwa maana hakuna mtu atakaye waapa kipaumbele tena
Ikumbukwe vile vile kuna wafanya fujo na waharibu amani ya nchi hii wanafaili lao huko korokoroni walipo sekwa kwa mara ya mwisho,hawa wakikutwa tena wanaleta vurugu na fujo kwa mara pili,wataonekana ndio vinara wa machafuko na mwisho wao utakuwa mbaya
Kwahiyo kwa kifupi hawa wafanya fujo na waleta vurugu wa nchi hii wamejikuta kwenye mode ya ukisimama nchale na ukikaa nchale
Kwa upande mwingine tofauti na siku za nyuma ambazo tumezoea kuwaona wana usalama mapema mabarabarani na kwenye vituo vya mwendo kasi,hivi Sasa hali ni tofauti,mpaka asubuhi hii naandika huu uzi sijawaona hawa wadau
Huenda wameona hakuna tishio la hawa wapuuzi,ndio maana this time hawaja lichukulia hili jambo very seriously
Au wanakuja na mpango ambao utawashangaza wale wote ambao watajifanya kichwa ngumu na kujaribu kutia ngoko zao barabarani
Tufanye subira muda ni mwalimu mzuri sana, vijana mmebakiwa na siku mbili tu,leo na kesho kufanya maamuzi sahihi,maamuzi ambayo yatakuokoa wewe dhidi ya matatizo pamoja na kuiweka familia yako mbali na matatizo
Maisha yenyewe haya ni magumu,halafu badala ya ndugu zako kupambana na kuongeza uchumi wao,wewe ulivyo mpuuzi unataka wahangaike kukutibia au kukutoa selo
Grow up young men, epuka mambo yote ambayo yatakusababishia matatizo,okoa kiwiliwili chako na okoa uhai wako
Amani ni tunu yetu basi tuilinde kwa wivu mkubwa sana
Wasalaam,
Ni hayo tu!
Muda ni mwalimu mzuri sanaRISASI HUJIBIWA KWA RISASI
KARIBU UWANJANI TAREHE 25.12.2025
Hatutaingia Barabarani
1. OFISI YOYOTE YA SERIKALI CHOMA MOTO
2. OFISI YOYOTE YA CCM CHOMA MOTO
3. NYUMBA YOYOTE YA POLISI CHOMA MOTO
Wewe itabidi uraia wako uchunguzwe hakuna mtanzania mwenye roho mbaya kama wewe wewe itakuwa mnyarwandaRISASI HUJIBIWA KWA RISASI
KARIBU UWANJANI TAREHE 25.12.2025
Hatutaingia Barabarani
1. OFISI YOYOTE YA SERIKALI CHOMA MOTO
2. OFISI YOYOTE YA CCM CHOMA MOTO
3. NYUMBA YOYOTE YA POLISI CHOMA MOTO
Kama huo mpango utakuwa ni kuuwa raia zaidi au kama Ile ya mo29 basi hawana haja ya kuita ni mpango. Nayo pia pia itakuwa ni aibu zaidi.Aibu pekee ambayo wataipata dola ni kama wakifunga internet, kwasababu haituathiri sisi tu wananchi bali pamoja watu wa mataifa mengine na shughuli za uchumi kukwama
Trust me kuna mpango dola inao,ukimya huu una jambo kubwa sana
Tusubiri
Msikilize warioba, halafu urudi uje uandike uzi mwingine.Muda ni mwalimu mzuri sana
Tusubiri
Hii ndo aina ya watu ambao tunatarajia wataleta mabadiliko hapa nchiniWewe itabidi uraia wako uchunguzwe hakuna mtanzania mwenye roho mbaya kama wewe wewe itakuwa mnyarwanda
Maana police ni ndugu zetu kutoka katika familia zetu Kwa nini uchome moto nyumba zao
Ebu weka hapa madai yako 5 tujue nini kinachokusibu maana usiwe katika wale wanaotumiwa na mabeberu kuvuruga amani yetu
Yeye ana uhuru wa kutoa maoni yake na sisi pia tuna uhuru wa kutoa maoni yetuMsikilize warioba, halafu urudi uje uandike uzi mwingine.
Nafikiri hajaoga kutoa ukurutu.Nenda ukalime mkuu huu msimu wa kilimo.
Naamini sasa hivi hawawezi kuua tena,sasa watajeruhi na kuwaweka watu korokoroniKama huo mpango utakuwa ni kuuwa raia zaidi au kama Ile ya mo29 basi hawana haja ya kuita ni mpango. Nayo pia pia itakuwa ni aibu zaidi.
Jengeni hoja na sio blablah,sasa mnatofauti gani na Waimba taarabuNafikiri hajaoga kutoa ukurutu.
Mvua zitamsaidia, ananuka uvundo!!
Umekunywa chai?Jengeni hoja na sio blablah,sasa mnatofauti gani na Waimba taarabu
Nimeshakunywa uji wa ulezi safi kabisaUmekunywa chai?