Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahahahah Jiiioooni leoooooNa mbengo zetafongoka
Mlevi akinywa akifanya kosa utasikia ni pombe ndiyo ilinisababishia nisamehe.Kwenye pombe kuna nguvu za giza za mashetani za kutosha ndio maana zinatakiwa zihifadhiwe kwe giza sio kwenye nuru ili zi absorb nguvu za giza za kumwingia mtu vizuri
Icho kitabu cha yoshua bin sira hawana. Vitabu saba vya deuterocanon hawana. Wao wana ile ya vitabu 66.
Zio bidhaa nyingi tu hutakiwi kuziweka kwenye mwanga kama unataka vidumu zaidi ikiwa ni pamoja na mafuta ya kupikia.Walevi wengi wana nguvu za giza pombe wanazokunywa zimeandikwa store in cool dark place
Kuwa zinatakiwa zihifadhiwe eneo lenye giza ili wapate nguvu za giza
Wenye Biblia agano la kale ni wayahudi
Wenye Biblia agano la kale ni wayahudi
Wana Biblia yao kabisa inaitwa Jewish Bible
Sababu agano la kale ni kati ya Mungu na wayahudi. kanisa lilipotaka kuchukua vitabu vya agano la kale lilichukua vitabu vya Biblia ya wayahudi wanayotumia hadi leo bila kuongeza kitabu au kupunguza
Hicho kitabu chako cha Sira wakatoliki walikiokota majalalani hakiko kwenye Biblia ya wayahudi .Wayahudi hawakitambui kwenye vitabu vyao vya agano la kale na ndio wenye agano lao sio wakatoliki waliookota jalalani hicho kitabu ume quote
Kukurahizishia nenda app store ka download Jewish Bible hicho kitabu hakimo
Na Jewish Bible haijawahi badilika hata kabla ya kanisa katoliki kuanzishwa hadi leo
Kawaulize mapadri katoliki agano la kale la Biblia Vitabu walitoa wapi vinavyozidi Jewishi Bible kama makabayo ,Yoshua Bin SiraMajalalani wapi?
Be logical...
Haikuchachuka ni divai alcohol 0%.Yesu hakugeuza maji kuwa mvinyo yaani pombe kali aligeuza maji kuwa divai yaani juice ya mizabibu
Mizabibu hutoa vinywaji viwili cha kwanza juice ya zabibu cha pili mvinyo yaani pombe kali
Yesu aligeuza maji kuwa divai sio mvinnyo
Chizi huyo, aliwahi kusema Ministry of works Ni wizara ya kazi.Nyie ndio mnasababisha HKl isiwe deal mjini mixer kudhalaulika
Hongera..ila unapishana na vingiMi namshukuru MUNGU sinywi...na namuomba nisinywe kabisa...