Walezi acheni kupeleka watoto bweni kama shule za kutwa zipo karibu. Bweni inaweza kuwa jehanamu kwa mtoto mdogo na kijana anayepitia balehe

Walezi acheni kupeleka watoto bweni kama shule za kutwa zipo karibu. Bweni inaweza kuwa jehanamu kwa mtoto mdogo na kijana anayepitia balehe

St. Mary's Morogoro nao wana hii tabia. Mtoto wa darasa la nne mnataka apelekwe boarding kwa ajili gani? Mtihani wa darasa la nne una ugumu gani mpaka mtoto mdogo wa miaka 8 hadi 10 akakae shuleni?
Wale watoto ni wadogo hawawezi kujitegemea bado wala kuishi mbali na familia. Ebu acheni uroho wa pesa mnaharibu watoto wa watu.
Siku hizi shule nyingi zipo kifaida...... Huo mtihani wa darasa la nne na hata wa darasa la saba sijaona uhitaji wake kiasi cha kumuhamisha mtoto akasomee boarding..... Hata shule za sekondari siku hizi kama day ipo achana na biarding, elimu imerahisishwa sana sio kama zamani
 
True boarding iwe gor high school. Nakumbuka school tuliandaa mgomo ila o level tuliwaambia watulie maana ilikua petition ya wakubwa inasound sana tofauti mkiwa na madogo. Pia hata msisitizo wa roll calls madogo wakiwa likizo haikuzingatiwa kama wao wakiwepo
Naunga mkono hoja, kipindi chote cha 0-16yrs mtoto awe chini ya uangalizi wa mzazi/mlezi
Kweli kabjsa aisee,, mtoto chini ya miaka 16 abaki tu na walezi wake, labda pale upatikanaji wa shule unapokua changamoto
 
Malezi na mwelekeo wa mtoto unaanzia kwa mzazi nyumbani,kama umemlea mtoto kimayai unategemea nini utakapompeleka boarding,mtoto hasa wa kiume kama umemlea ipasavyo malezi ya awali hata ukimpeleka bweni hawezi kuathirika na hizo tabia,sasa wewe unamletea mtoto series za kishoga na unamruhusu kuangalia unategemea nini
enzi zetu hakuna cha series ikikuwa ni mwendo wa movie za action bandika bandua za kina schwezi,Damme,Rambo,Bond& the same ukitoka hapo lazima ukapractise kitaa nanwatoto wenzako ni kuchapana makonde na binduki za mbao,mkitoka hapo ni mashindano ya magari ya waya mnakimbia na magari kama km 5 ukirudi home umechafuka kinoma unakula mkong'oto ndio uoge,ss haya malezi mnayowapa watoto siku hizi ndio yanawaharibu na hayo maseries ya kuiga ujinga,badilisha aina ya malezi ya awali kwa watoto na hawatapata hayo madhara
 
Mkuu, dunia imebadiika sana. Now days wenye dunia wanawekeza kwe bio weapons au drones. Wanawekeza sana kwa askari wao kutumia akili zaidi ya nguvu za kupasua tofali za kuchoma
 
Mimi ilo neno la mwisho ndo nalikazia pia
kuna member humu alileta uzi kua yy kapiga stop kuangalia TV kwake watu wakamponda sana ila uhalisia ndo huu watoto wengi wanaharibika kwa kuangalia hizi TV
Sikuhizi sio tv pekee, uwanja umetanuka sana... kuna simu hizi zimekuwa rahisi sana kupatikana na ni hatari zaidi, huko boarding ikifika usiku watoto huzitoa simu walizoiba makwao wanakusanyika kuangalia video za ushoga na kusagana, baada ya hapo wengine wanatesti mitambo,,, hapo mtoto yupo shuleni miezi minne bila uangalizi
 
Wenye shule wanaangalia pesa, Bording nchi nyingi walisha futa, sisi tunaona ni ndio ujanja
Huu ni kama utamaduni rasmi hapa Tanzania, hasa kwa wazazi wenye pesa wengi sana wanapeleka watoto boarding
 
Wanafanya biashara yaani lengo lao ni biashara, pesa
Hapo st mary naona wametikisika kiuchumi kwa mbali baada ya mmiliki kufariki, naona hayo mambo ya kushinikiza walezi waaomeshe watoto boarding ni mbinu za wazi za kujaribu kutenganaa kiuchumi
 
Mkuu, dunia imebadiika sana. Now days wenye dunia wanawekeza kwe bio weapons au drones. Wanawekeza sana kwa askari wao kutumia akili zaidi ya nguvu za kupasua tofali za kuchoma
Ndiposa mnapaswa nanyi kutumia akili kama wao au kuwazidi wao ili msiathirike,ila kwa matatizo kama haya ya malezi tusisingizie wazungu au hao unaosema wwnye dunia yao,wengi ni kuendekeza kuiga maigizo yao negative...kuiga sio kubaya bali ni je unaiga kipi....chukua yale mazuri na yale mabaya kaa nayo mbali kabisa
 
St. Mary's Morogoro nao wana hii tabia. Mtoto wa darasa la nne mnataka apelekwe boarding kwa ajili gani? Mtihani wa darasa la nne una ugumu gani mpaka mtoto mdogo wa miaka 8 hadi 10 akakae shuleni?
Wale watoto ni wadogo hawawezi kujitegemea bado wala kuishi mbali na familia. Ebu acheni uroho wa pesa mnaharibu watoto wa watu.
Tatizo hapo ni wazazi, hao St Mary wao wanachotaka ni mkwanja tuu
 
Hupunguza upendo pia baina ya mtoto na wazazi
 
Wazazi tujitafakari sanaa, mimi hata kuwaamsha saa kumi alfajiri sijui kuwapandisha school bus hapana kwakweli
 
Back
Top Bottom