Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimejifunza na nimeipenda hii.Ukitaka kufanya mistake kwa wanao wapeleke boarding mapema mtoto kule ataondoka na vitu vitatu kati ya hivi
1. Kutokana na tabia chafu zinazoenea siku izi na kuonekana za kawaida jua kabisa boarding kuna ubabe mwingi yani kama jera kama mtoto wako ana sura ya mama ake mzuri mzuri lazima wampasue linda nakazia apa lazima wamchane tako nakumbuka ilikua miaka ya 90 tupo boarding kuna dogo alichanwa linda na wababe flani kisa deni
2. Apa utatengeneza mtoto mchoyo sana yani mbinafsi kwasababu maisha ya boarding nikuangalia mali zako tu hawafundishwi kitu kinaitwa sharing hii tabia watoto huwa wanarudi nayo nyumbani ndo maana unakuta mtu kasoma kafanikiwa vizuri lakini mgumu sana kweny mambo ya kusaidia watu waliomzunguka hata ndugu zake wa damu kwasababu maisha yake yote ametengenezwa kuwa mchoyo na mali zake kwaiyo ni vizuri umpeleke mtoto atleast A-level apo anajitambua
3. Upendo hupungua kwa wazazi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Boarding sio pazuri cc cocastic
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwani mie ndo nashawishi watu wapeleke watoto boarding?? Semeni na watoto wenu.KAMA BOARDING INGEKUWA INAZALISHA MASHOGA, BASI WOTE TUNGEKUWA MASHOGA.
MASHOGA WAKUU NDIO NYIE WENYEWE MNAFIRANA KAMA MABATA HUKO MTAANI ACHENI KUSINGIZIA BOARDING.
NAONA KUNA VITA YA KIBIASHARA HAPA KUPITIA MBINU YA KUCHOTA HISIA ZA WATU.
cc cocastic
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaahBoarding schools kwasasa ndio VIWANDA vya kuzalisha ma LGBTIQ+ people, huko mbeleni tarajieni uwepo wa "maelfu kwa maelfu" ya vijana wa hovyo kabisa huko Tanzania.