Wali kuku wa kukaanga

Asante kwa kunifungua hasa ss mabachelor bana duuh, this weekend nita mpikia wifi yako aisee then mrejesho utakuwa wa muhimu zaidi

Usijali tunasubiria mrejesho
 
Duh, asante sana, mate yananitoka kwa kuona picha tu, naona kama kumepungua kakachumbari kidogo pembeni wakati wa kula au??
 
ah, muhimu mie kwanza. Huyo shem wenu ndo anafuatia, raha mtu hujipa mwenyewe

Habibty weee sivyo hivyo mpikie bwana kwanza umlishe yeye ashibe halafu ule weye au mlishane ati
 
Duh, asante sana, mate yananitoka kwa kuona picha tu, naona kama kumepungua kakachumbari kidogo pembeni wakati wa kula au??

Salad ilikuepo sikueka picha hii nlisahau
 

Attachments

  • 1422453422539.jpg
    61.9 KB · Views: 264
Somo huu wali usikose binzari nyembaba, was my favourite kabla hujanifundisha ule wali wa spinachi....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…