Rodwell mTZ
JF-Expert Member
- Nov 16, 2012
- 1,455
- 1,621
Duuh ugali unaugeuzaje ndani ya p-cooker?Pressure cooker inapika kuanzia birian, wali, ugali mpaka makande, supu na mboga za majani! Rice cooker sidhan kama inaweza fanya hivyo
Kama ni bachela ajikusanye anunue pressure cooker walau ya Von.
Ndio maan nkasema kuokoa gharama.Pressure cooker inapika kuanzia birian, wali, ugali mpaka makande, supu na mboga za majani! Rice cooker sidhan kama inaweza fanya hivyo
Kama ni bachela ajikusanye anunue pressure cooker walau ya Von.
Pesa ya kupata pressure cooker ipo kabisa mkuu, sema sikuwa na ufahamu wa hv vitu.. nitajaribu kuvifuatilia madukani ikiwezekana wiki hii nivute mzigo huo(Pressure cooker) kazi ya kupika hii kwa kweli naona tabu sana na inanipotezea time yanguNunua pressure cooker ya Von (around 250k) au kama una kauwezo kidogo nunua ya Nutri cook (around 300k).
Ukiwa na hizo ni swala la kubonyeza button wali unaiva.
Mwenyewe nataka nijue hapa,, inamaana nikiweka unga hainaga kusonga na mwiko..!!!Duuh ugali unaugeuzaje ndani ya p-cooker?
Nadhani haiwezekani.M
Mwenyewe nataka nijue hapa,, inamaana nikiweka unga hainaga kusonga na mwiko..!!!
Hakuna haja ya kuweka mfuniko chini, badala yake vikichemka kabla ya kukauka apunguze moto, na mfuniko uwe tait, punguza tena moto ili uive taratibu kwa robo saa mpaka dak 20, Funua onja, kama kuna kiini subiri dak 10 mbele lazima utakuwa poaFanya hivi..., kwanza ukaange na mafuta kisha tia maji ya baridi...., moto uwe kiasi..., pili ukianza kukauka maji weka mfuniko wa bati au chuma chini ya sufuria hapo sasa uache uendelee kuiva pole pole ila uwe unauangalia. Hiyo ndio siri ya kambi [emoji2308][emoji2308]
Siwezi kula MamaNtilie siku zote, Kuna aina ya vyakula napika mwenyewe na nainjoi kabisa. Kuhusu bei ya Gas naimudu ndo maana Niko nayo.Unahangaikia nini?Kale kwa mama-ntilie.Kwanza gesi bei yake ipo juu.Hilo jiko uwe inachemshia maji ya kuoga tu.
Ng'ang'ana na ubishi uje uungue nyusi ufanane na msukule.Siwezi kula MamaNtilie siku zote, Kuna aina ya vyakula napika mwenyewe na nainjoi kabisa. Kuhusu bei ya Gas naimudu ndo maana Niko nayo.
Njoo nikuoe wewe kama unajua kupika kweli ili nami nijilambe vitam kutoka mapishi yakoNg'ang'ana na ubishi uje uungue nyusi ufanane na msukule.
OPTIONS:
-Oa haraka,
-Mwambie mpenzi wako awe anakuja kukupikia,
-Endelea kujipikilisha ule vibichi.
Natania.Fuata maelezo unayopewa na wajumbe hapo juu.
Mimi ni sawa na baba yako kijana.Huko kwenu mna kawaida ya kuwaoa baba zenu?Mmefikia viwango vya kutisha.Njoo nikuoe wewe kama unajua kupika kweli ili nami nijilambe vitam kutoka mapishi yako
Ooh, nilijua wewe ni "KE"Mimi ni sawa na baba yako kijana.Huko kwenu mna kawaida ya kuwaoa baba zenu?Mmefikia viwango vya kutisha.
Si uwe unaenda hotel au mgahawaPesa ya kupata pressure cooker ipo kabisa mkuu, sema sikuwa na ufahamu wa hv vitu.. nitajaribu kuvifuatilia madukani ikiwezekana wiki hii nivute mzigo huo(Pressure cooker) kazi ya kupika hii kwa kweli naona tabu sana na inanipotezea time yangu
Unatania huku umemdhamilia dahNg'ang'ana na ubishi uje uungue nyusi ufanane na msukule.
OPTIONS:
-Oa haraka,
-Mwambie mpenzi wako awe anakuja kukupikia,
-Endelea kujipikilisha ule vibichi.
Natania.Fuata maelezo unayopewa na wajumbe hapo juu.
Kijana chapa kazi achana na mambo ya kuendekeza kula. Unakuwa kama wale jamaa wa makobazi bana.Wakuu nipeni ujuzi hapa,
Kila siku nikipika wali kwa kutumia jiko langu la Gas naona unanisumbua sana, kwanza hauivi pia unaungua sana chini ya sufuria, nimewaza hadi kununua Rice cooker Wenda itanisaidia kuivisha vizuri.
Kwa sasa sijaoa, mchumba wangu ni Mtumishi wa Umma anakujaga weekend tu na anapenda kupika vitu vya kukaangakaanga tu.