Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaanga kitunguu na moto mdogo sana the results.. utapendaNiliwahi kuona mtu alipika huo wali ukabadilika na kua wa brown alisema wao wanaita pilau, binafsi ulinishinda ila napika wali wa kitunguu, kitunguu hakiivi sana, napenda viwe vinaonekana nikila.
Boost your Immune System to fight a Covid-19.
Jaribu pia wali wa Garlic ni mtamu hatariWali wa kitunguu uwa mtamu sana, napenda na kile kiharufu chake....ila mimi vitunguu siunguzi aisee
Hello guys,
Kwa wale wanaopenda kula kama mimi nimeona niwashirikishe hili pishi rahisi sana. Mwaka jana mwishoni katika kuhangaika na maisha nilienda mkoa mmoja ndanindani huko. Kule nilikuta wanapika wali wa kitunguu kwa kweli niliupenda. Pengine wengine mnajua ila nina uhakika wapo ambao hawafahamu. Twende pamoja.
1. Andaa kitunguu maji katakata vipande vya kawaida.
2. Tia mafuta kwenye sufuria unayotaka kupikia wali (hakikisha umeandaa maji ya moto pembeni).
3. Tia vitunguu kwenye mafuta yaliyochemka, kaanga mpaka viungue (sio viive, vinatakiwa viungue).
4. Tia mchele, geuza hadi vitunguu vichanganyike na vitunguu (mchele ubadilike rangi). Baada ya hapo tia maji na endelea na hatua zingine kama kawaida.
Wali unakuwa na ladha fulani hivi ya kuvutia, mimi niliupenda najua na wewe utaupenda
Hadi viungue au vibadilike tu rangi?kaanga kitunguu na moto mdogo sana the results.. utapenda
Ahsante dear, nitafanya hivyoJaribu pia wali wa Garlic ni mtamu hatari
Ukipika polepole utapata kabrown kwa mbaaali Ila kinabaki na weupe kiasiHadi viungue au vibadilike tu rangi?
Me napendelea tu vibadilike na kuwa ile brown fulani.Hadi viungue au vibadilike tu rangi?
Niliwahi kuona mtu alipika huo wali ukabadilika na kua wa brown alisema wao wanaita pilau, binafsi ulinishinda ila napika wali wa kitunguu, kitunguu hakiivi sana, napenda viwe vinaonekana nikila.
Boost your Immune System to fight a Covid-19.
Naamu hiyo imekaa poa sanaukipika polepole utapata kabrown kwa mbaaali Ila kinabaki na weupe kiasi
Halafu kweli kitunguu kikiungua kinakua kichungu, labda kikiwa kwenye wali uchungu unatokaMe napendelea tu vibadilike na kuwa ile brown fulani.
Kitunguu kikiungua kinakuwa kichungu
Me napendelea tu vibadilike na kuwa ile brown fulani.
Kitunguu kikiungua kinakuwa kichungu
Siyo Pilau ni wali wa Vitunguu ,Vitunguu vyake haviunguzwiNitapata shida tu ya kula huku nauchambua maana vile vitunguu vilivyoungua vitakuwa vinanikera.
Kitunguu kina siri kubwa kwenye pishi lolote.. Hunogesha na kuleta ladha fulani very amazingHello guys,
Kwa wale wanaopenda kula kama mimi nimeona niwashirikishe hili pishi rahisi sana. Mwaka jana mwishoni katika kuhangaika na maisha nilienda mkoa mmoja ndanindani huko. Kule nilikuta wanapika wali wa kitunguu kwa kweli niliupenda. Pengine wengine mnajua ila nina uhakika wapo ambao hawafahamu. Twende pamoja.
1. Andaa kitunguu maji katakata vipande vya kawaida.
2. Tia mafuta kwenye sufuria unayotaka kupikia wali (hakikisha umeandaa maji ya moto pembeni).
3. Tia vitunguu kwenye mafuta yaliyochemka, kaanga mpaka viungue (sio viive, vinatakiwa viungue).
4. Tia mchele, geuza hadi vitunguu vichanganyike na vitunguu (mchele ubadilike rangi). Baada ya hapo tia maji na endelea na hatua zingine kama kawaida.
Wali unakuwa na ladha fulani hivi ya kuvutia, mimi niliupenda najua na wewe utaupenda
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] walai nimecheka na hili swali lako,Vikiwa havijaiva sana vina boost immunity to fight Covid-19?
Siyo Pilau ni wali wa Vitunguu ,Vitunguu vyake haviunguzwi
Tena me hua naweka vingi hata vitatu vya size kubwa, vitunguu vina ladha nzuri sana.Kitunguu kina siri kubwa kwenye pishi lolote.. Hunogesha na kuleta ladha fulani very amazing
Jr[emoji769]
okay kila Mtu na upishi wake,Najua, lakini sasa unakulaje na vile vitunguu vilivyogeuka mkaa? Kasema hapo sio viive ni vinatakiwa kuungua ili kufanya wali uwe brown.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] walai nimecheka na hili swali lako,
Hiyo ni signature nilikua naitumia zamani sasa nilivyoiacha ndio imekua juu kama vile nimeandika sambamba na comment lakini sivyo.