Wanamfuata mudi ambaye hakujua kusoma wala kuandika, hakuna hope kwao.Huo ni ukweli..waislamu wengi ukiwaambia hili wanaona unaidharau dini
Mtoto wa shule ya msingi hawezi kushika mawili ndani ya siku moja. Hii itamsaidia kufanya home work zake vizuri
Waliosomea elimu akhera kwann wengi wengi huwa na mawenge mawenge vichwani? Wengi kila kitu huchukulia negative na kuwa na chuki muda woteKufeli mwanafunzi ni haihusiani na madrasa wapo ambao hawasomi na wanafeli pia mtoto akiandaliwa vizuri anashika Mambo mengi mno na anafanya vizuri kote tuu shida ya kufeli ni wazazi kutokua makini na vijana wanaosoma.
N;B kusoma dini na elim dunia kwa muislam ni lazima sio ombi na ukifeli elim dunia ni ujinga wa muhusika haihusiani na dini yetu
Kwa hiyo unataka. Kusema mamlaka zimepanua goli?Kuna miaka waliandamana ati Dr Ndalichako alikuwa anaharibu matokeo ya vijana wao wenye dini. Sasa hivi yupo mtu wa upande wao lakini hali ni ileile.
Ni muda muafaka tuanze kutafuta suluhisho sahihi nje ya mihemko ya imani.
View attachment 2883506View attachment 2883509
Narudia Hilo ni suala la muhusika ukikosa exposure lazima huo ugonjwa wa negativity ukusumbue na sio uislam hata wachungaji wapo wengi ni mawenge lazima kila unachokisoma ukitafakari iwe dini au elim nyingine kikuletee manufaa na jamii inayokuzunguka kila siku nikujifunza hata nabii Mussa alijiona yeye anajua kuliko wote lakini Mungu akamuonyesha jamaa mwenye elimu zaidi yake mpaka akashangaaWaliosomea elimu akhera kwann wengi wengi huwa na mawenge mawenge vichwani? Wengi kila kitu huchukulia negative na kuwa na chuki muda wote
wengi wana hela mnoo,si unaona MO, bakhresa,gsm nk wote hao waliferi hizo mitihani za necta.Unongeleajeh kuhusu utajiri wao?!
Baada ya shule