Waliandamana kufelishwa na NECTA kwenye elimu ya dini kipindi cha Ndalichako, wamemweka wakwao lakini matokeo ni yaleyale

Waliandamana kufelishwa na NECTA kwenye elimu ya dini kipindi cha Ndalichako, wamemweka wakwao lakini matokeo ni yaleyale

Huo ni ukweli..waislamu wengi ukiwaambia hili wanaona unaidharau dini

Mtoto wa shule ya msingi hawezi kushika mawili ndani ya siku moja. Hii itamsaidia kufanya home work zake vizuri
Wanamfuata mudi ambaye hakujua kusoma wala kuandika, hakuna hope kwao.
 
Kufeli mwanafunzi ni haihusiani na madrasa wapo ambao hawasomi na wanafeli pia mtoto akiandaliwa vizuri anashika Mambo mengi mno na anafanya vizuri kote tuu shida ya kufeli ni wazazi kutokua makini na vijana wanaosoma.

N;B kusoma dini na elim dunia kwa muislam ni lazima sio ombi na ukifeli elim dunia ni ujinga wa muhusika haihusiani na dini yetu
 
Waliosomea elimu akhera kwann wengi wengi huwa na mawenge mawenge vichwani? Wengi kila kitu huchukulia negative na kuwa na chuki muda wote
 
Waliosomea elimu akhera kwann wengi wengi huwa na mawenge mawenge vichwani? Wengi kila kitu huchukulia negative na kuwa na chuki muda wote
Narudia Hilo ni suala la muhusika ukikosa exposure lazima huo ugonjwa wa negativity ukusumbue na sio uislam hata wachungaji wapo wengi ni mawenge lazima kila unachokisoma ukitafakari iwe dini au elim nyingine kikuletee manufaa na jamii inayokuzunguka kila siku nikujifunza hata nabii Mussa alijiona yeye anajua kuliko wote lakini Mungu akamuonyesha jamaa mwenye elimu zaidi yake mpaka akashangaa

N:B Kuna elimu na ufahamu yaan education and knowledge hivyo viwili vinaenda sambamba ndio maana tunaomba dua Mungu atujalie vyote ukipata kimoja bila kingine utaishia kudhaulika ndio maana utaona Kuna mzee Wala Saba anamfunika mwenye PhD
 
Back
Top Bottom