Walimu 5000 kati ya 8000 walioajiriwa, wasitishiwa ajira zao

Blogaboy

Member
Joined
Jun 21, 2020
Posts
13
Reaction score
9
Baada ya tafrani kubwa Kuhusu ajira za walimu zilizotangazwa, hatimae kimya kimya walimu 5000 wapigwa stop baada ya kugundulika hawana sifa za ualimu wengi wao wakiwa ni mathematician, engineer's, BVM na wataalam wa accountancy!

Hata hivyo chuo cha ekernfors Tanga, kimeingia ktk kashfa baada ya kugundulika wahitimu wake wote kaunzia 2017 wakipata ajira hizo

Hadi sasa swala la kuongeza masomo ya kufundishia, linajadiliwa kupambana na uhaba wa walimu
 
Baada ya tafrani kubwa Kuhusu ajira za walimu zilizotangazwa, hatimae kimya kimya walimu 5000 wapgwa stop baada,ya kugundulika hawana sifa za ualimu wengi wao wakiwa ni mathematician, engineer's, BVM na wataalam wa accountancy!

Hata hivyo chuo cha ekernfors Tanga,kimeingia ktk kashfa baada ya kugundulika wahitimu wake wote kaunzia 2017 wakipata ajira hizo

Hadi sasa swala la kuongeza masomo ya kufundishia ,linajadiliwa kupambana na uhaba wa walimu
Tanzania ni nchi kubwa inayoongozwa na viongozi wasio maono makubwa.
 
Sidhani kama kuna ukweli katika taarifa yako. Walimu 5000 kati ya 8000 wamepigwa stop?

Mbona wengi sana
 
Baada ya tafrani kubwa Kuhusu ajira za walimu zilizotangazwa, hatimae kimya kimya walimu 5000 wapgwa stop baada,ya kugundulika hawana sifa za ualimu wengi wao wakiwa ni mathematician, engineer's, BVM na wataalam wa accountancy!

Hata hivyo chuo cha ekernfors Tanga,kimeingia ktk kashfa baada ya kugundulika wahitimu wake wote kaunzia 2017 wakipata ajira hizo

Hadi sasa swala la kuongeza masomo ya kufundishia ,linajadiliwa kupambana na uhaba wa walimu
8000-5000=3000 inakuja kweli akilini[emoji849]

Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
 
Sizani kama hiki ni kweli ila hili suala la Taaluma nyengine kuingilia nafasi za taaluma nyengine especially kwenye suala hili la ajira za walimu watu wa carrier nyengine nao kupata ajira lilinitia hasira sana, Yes HASIRA na iwe hivyo kama ijawa kweli siku nitalifikisha kunapo husika.
 
Hata mimi nimeshangaa.
Watu 5000 ni wengi sana kuajiriwa kimakosa. Labda mwandishi badala ya kuandika 500 amekosea akaongezea sifuri moja mbele. Lakini la chuo cha Eckernforde wahitimu wake kuajiriwa karibia wote kwenye hizo ajira sio la kupuuzwa lina kaukweli ndani yake
 
Asa vigezo vyenyewe vya uombaji wa izo nafasi ziliwataka ata wale wa waliosoma fani nyingne kuomba na vikaeleza wataajiliwa kama walimu ngazi husika...
Sioni kama hoja yako inamashiko zaidi ya chuki binafs tu badilika
 
mkuu wale mainjinia si wanaenda fundisha shule za Tech, Sasa mwalimu utaweza fundisha masomo ya engineering?
 
Baada ya tafrani kubwa Kuhusu ajira za walimu zilizotangazwa, hatimae kimya kimya walimu 5000 wapgwa stop baada,ya kugundulika hawana sifa za ualimu wengi wao wakiwa ni mathematician, engineer's, BVM na wataalam wa accountancy!

Hata hivyo chuo cha ekernfors Tanga,kimeingia ktk kashfa baada ya kugundulika wahitimu wake wote kaunzia 2017 wakipata ajira hizo

Hadi sasa swala la kuongeza masomo ya kufundishia ,linajadiliwa kupambana na uhaba wa walimu
Ngoja tumsubiri Jaffo atoe neno
 
Habari Kama hizi ndiyo zinasababisha serikali kutamani kufungia social network.

Taarifa umeitoa wapi hasa hapo kwenye idadi?
 
Asa vigezo vyenyewe vya uombaji wa izo nafasi ziliwataka ata wale wa waliosoma fani nyingne kuomba na vikaeleza wataajiliwa kama walimu ngazi husika...
Sioni kama hoja yako inamashiko zaidi ya chuki binafs tu badilika
Yaani uingilie ugari wangu wako upo safe useme chuki acha ujinga wewe.
 
Back
Top Bottom