miamiatz
JF-Expert Member
- Dec 4, 2017
- 505
- 941
Sasa hujui kuna book keeping huko? Au unataka nao wana mahesabu ya fedha wakafundishwe na nani?Kwa engineer sawa kuna mawatu wengine eti account nk
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa hujui kuna book keeping huko? Au unataka nao wana mahesabu ya fedha wakafundishwe na nani?Kwa engineer sawa kuna mawatu wengine eti account nk
tatzo vijana wengi humu mnashindwa kuendana na mfumo ulivyo na serikali haiwez ajiri watu wote..Yaani uingilie ugari wangu wako upo safe useme chuki acha ujinga wewe.
Huyo kasema kufundisha vyuo mzee na nimemjibu haraka tu maana simu ilibaki na 1% kimsingi ajira zilihusu Primary na Secondary hakuna loophole la taaluma nyengine yeyote ile kupewa nafasi huu ni mzandiki, kuna dozen ya walimu wanahitaji nafasi iweje nafasi zao ziingiliwe mbona wao haqaingilii nafasi za carrier nyengine.Sasa hujui kuna book keeping huko? Au unataka nao wana mahesabu ya fedha wakafundishwe na nani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Tumia ubongo ipasavyo japo, suala halihusu kuajiriwa suala ni mtu mmoja kuingia maslahi ya mwengine uku yake yakibaki hayainhiliwi, Account apewe nafasi ya uwalimu then Mwalimu hachukui nafasi ya Account huu ni uwaki wa hali ya juu sana, kama Taaluma hii inaweza kuwa acquired na kilamtu kutoka taaluma nyengine kuna mantiki ya kuwa na Taaluma ya uwalimu, kwanini liwe jamvi la wageni.tatzo vijana wengi humu mnashindwa kuendana na mfumo ulivyo na serikali haiwez ajiri watu wote..
Ondoa mawazo mgando ya kufikili maisha ni kuajiriwa tu hata huku njee ya boks maisha yanaenda tu..kikubwa upambane
Sio unakuja kulia Lia apa nyambafuu ww
CCM ushauri wenu umeoza unatoa funzatatzo vijana wengi humu mnashindwa kuendana na mfumo ulivyo na serikali haiwez ajiri watu wote..
Ondoa mawazo mgando ya kufikili maisha ni kuajiriwa tu hata huku njee ya boks maisha yanaenda tu..kikubwa upambane
Sio unakuja kulia Lia apa nyambafuu ww
Kule mjengoni wanataka kumuongezea mkuu. Kilio kitasikika kila pande za nchi [emoji26]Bado Minne lakin Ni hatar!!![emoji23]
Hakuna ukweli rafiki zangu wamemaliza hiki chuo 2015 wapo mitaaniHata mimi nimeshangaa.
Watu 5000 ni wengi sana kuajiriwa kimakosa. Labda mwandishi badala ya kuandika 500 amekosea akaongezea sifuri moja mbele. Lakini la chuo cha Eckernforde wahitimu wake kuajiriwa karibia wote kwenye hizo ajira sio la kupuuzwa lina kaukweli ndani yake
Kuanzia 2017-2019Hakuna ukweli rafiki zangu wamemaliza hiki chuo 2015 wapo mitaani
Ndumbaro yule katibu mkuu utumishi na yule katibu wa tamisemi waliongwa fedha nyingi na mwenye mmiliki wa chuo kwani kile chuo kilikuwa kiko at dying point. Sasa hivi wameanzisha msemo wao soma chuo bora tukutafutie ajiraKuanzia 2017-2019
fuatilia
Kumbe ndio hiki kilichofanyika! Du!!Ndumbaro yule katibu mkuu utumishi na yule katibu wa tamisemi waliongwa fedha nyingi na mwenye mmiliki wa chuo kwani kile chuo kilikuwa kiko at dying point. Sasa hivi wameanzisha msemo wao soma chuo bora tukutafutie ajira
Kweli mkuu kula likeTumia ubongo ipasavyo japo, suala halihusu kuajiriwa suala ni mtu mmoja kuingia maslahi ya mwengine uku yake yakibaki hayainhiliwi, Account apewe nafasi ya uwalimu then Mwalimu hachukui nafasi ya Account huu ni uwaki wa hali ya juu sana, kama Taaluma hii inaweza kuwa acquired na kilamtu kutoka taaluma nyengine kuna mantiki ya kuwa na Taaluma ya uwalimu, kwanini liwe jamvi la wageni.
Wasio stahili kivipi?Kazi inaendelea....
Tutawaondoa walimu wasiostahili.
Kama yale ustadhi alimchapa yule mzee[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Hii nchi inapoelekea ntakuja kumchapa kiongozi mmoja makofi hadharani maana hawajiheshimu hawa watu