Shadow7
JF-Expert Member
- Sep 28, 2020
- 33,952
- 56,156
SwadaktaaaKama yale ustadhi alimchapa yule mzee[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
SwadaktaaaKama yale ustadhi alimchapa yule mzee[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Facts sanaa hii [emoji1547]Siasa bwana...!
Yaani unatoa sifa na vigezo unavyotaka watu wana apply (tena kwa mfumo wa mtandao kabisa) kisha unajiridhisha kabisa kwamba wanaostahili ni hawa unawapa ajira halafu huwalipi hela kwanza eti mpaka uwahakiki tena!
Tena haiishii hapo bali baada ya uhakiki unakuja kukuta eti wasiostahili ni wengi kuliko wanaostahili (kama habari ni ya kweli) teh! teh! teh!
Maswali
1.mfumo (OTEAS) una matatizo?
2.kwanini nguvu kubwa (ya uhakiki) isingeelekezwa kwenye kupokea maombi zaidi kuliko kwenye ajira?
3.kama ni mfumo ulikosea basi una maana gani tena huo mfumo?
4.ina maana kuna uzembe ulifanyika kwenye kupokea maombi?
5.hatua gani za kudhibiti mambo hayo zimechukuliwa/zinachukuliwa?
6.watu hao wanaoondolewa je maslahi yao yatalindwaje? (Maana hawakutumia ulaghai wala njia yoyote ya mlangonyuma bali wote walitumia OTEAS na wakaitwa)
7.hao wanaoambiwa wanahakikiwa ndipo walipwe mshahara je ni lini watalipwa hela zao zote?
Hapo namba 7 Nauliza hivyo maana kuna wengine sasahivi mpaka tumeshasahau hata madai yetu ya mshahara wa mwezi wa mwanzo baada ya kuajiriwa, hatujalipwa! Sasa mwezi mmoja tu hatulipwi sijui itakuwaje kwa hao wenye madai zaidi ya mwezi mmoja plus na sisi ndo itawezekana kweli?
Mnaboa sana!!!
Sizani kama panaukweli watu hao ni wengi sanaBaada ya tafrani kubwa Kuhusu ajira za walimu zilizotangazwa, hatimae kimya kimya walimu 5000 wapigwa stop baada ya kugundulika hawana sifa za ualimu wengi wao wakiwa ni mathematician, engineer's, BVM na wataalam wa accountancy!
Hata hivyo chuo cha ekernfors Tanga, kimeingia ktk kashfa baada ya kugundulika wahitimu wake wote kaunzia 2017 wakipata ajira hizo
Hadi sasa swala la kuongeza masomo ya kufundishia, linajadiliwa kupambana na uhaba wa walimu
Umeongea ukweliHii nchi inapoelekea ntakuja kumchapa kiongozi mmoja makofi hadharani maana hawajiheshimu hawa watu
Watu hawaongeiAwamu ya Tano Kuna upigaji mkubwa Sana.
WaTz wamezibwa midomo.
Yeap nikweliSerikali ya awamu ya 5 ajira sio kipaumbele chake. Chanzo cha ajira hizi ni kipindi cha kampeni baada ya Magufuli kubanwa koo na Lissu
Bado minne unaona bora ilipokuwa bado MinaneBado Minne lakin Ni hatar!!![emoji23]
Anapambana kwa naiba ya watanzania wanyonge sanaUmetaja chuo cha Eckernford umenikumbusha mmiliki wake Mzee Remency Tarimo. Alikuwa Mzee wa kanisa KKKT brbr ya 8 Usharika wa Kana-Tanga. Na mtoto wake Emmanuel ni mpambanaji sana!
Hii hbr yakweli kabisa, kuna dogo karudi yupo kitaa, kibaya zaid alikua private akaacha kwa ajira ya serikali sahiz yupo mtaani maskin.Baada ya tafrani kubwa Kuhusu ajira za walimu zilizotangazwa, hatimae kimya kimya walimu 5000 wapigwa stop baada ya kugundulika hawana sifa za ualimu wengi wao wakiwa ni mathematician, engineer's, BVM na wataalam wa accountancy!
Hata hivyo chuo cha ekernfors Tanga, kimeingia ktk kashfa baada ya kugundulika wahitimu wake wote kaunzia 2017 wakipata ajira hizo
Hadi sasa swala la kuongeza masomo ya kufundishia, linajadiliwa kupambana na uhaba wa walimu
ebhnaaaeee sasa si watupe sisi wenye vigezo tupo tu mtaani jaman khaaa na hzo elfu 5 wanatoa mwaka gani maana wazir nae kasema walitoa week 2 zilizoptaHii hbr yakweli kabisa, kuna dogo karudi yupo kitaa, kibaya zaid alikua private akaacha kwa ajira ya serikali sahiz yupo mtaani maskin.