Tanzania ni nchi kubwa inayoongozwa na viongozi wasio maono makubwa.Baada ya tafrani kubwa Kuhusu ajira za walimu zilizotangazwa, hatimae kimya kimya walimu 5000 wapgwa stop baada,ya kugundulika hawana sifa za ualimu wengi wao wakiwa ni mathematician, engineer's, BVM na wataalam wa accountancy!
Hata hivyo chuo cha ekernfors Tanga,kimeingia ktk kashfa baada ya kugundulika wahitimu wake wote kaunzia 2017 wakipata ajira hizo
Hadi sasa swala la kuongeza masomo ya kufundishia ,linajadiliwa kupambana na uhaba wa walimu
8000-5000=3000 inakuja kweli akilini[emoji849]Baada ya tafrani kubwa Kuhusu ajira za walimu zilizotangazwa, hatimae kimya kimya walimu 5000 wapgwa stop baada,ya kugundulika hawana sifa za ualimu wengi wao wakiwa ni mathematician, engineer's, BVM na wataalam wa accountancy!
Hata hivyo chuo cha ekernfors Tanga,kimeingia ktk kashfa baada ya kugundulika wahitimu wake wote kaunzia 2017 wakipata ajira hizo
Hadi sasa swala la kuongeza masomo ya kufundishia ,linajadiliwa kupambana na uhaba wa walimu
Hata mimi nimeshangaa.
Hata mimi nimeshangaa.
Watu 5000 ni wengi sana kuajiriwa kimakosa. Labda mwandishi badala ya kuandika 500 amekosea akaongezea sifuri moja mbele. Lakini la chuo cha Eckernforde wahitimu wake kuajiriwa karibia wote kwenye hizo ajira sio la kupuuzwa lina kaukweli ndani yake
Asa vigezo vyenyewe vya uombaji wa izo nafasi ziliwataka ata wale wa waliosoma fani nyingne kuomba na vikaeleza wataajiliwa kama walimu ngazi husika...Sizani kama hiki ni kweli ila hili suala la Taaluma nyengine kuingilia nafasi za taaluma nyengine especially kwenye suala hili la ajira za walimu watu wa carrier nyengine nao kupata ajira lilinitia hasira sana, Yes HASIRA na iwe hivyo kama ijawa kweli siku nitalifikisha kunapo husika.
mkuu wale mainjinia si wanaenda fundisha shule za Tech, Sasa mwalimu utaweza fundisha masomo ya engineering?Sizani kama hiki ni kweli ila hili suala la Taaluma nyengine kuingilia nafasi za taaluma nyengine especially kwenye suala hili la ajira za walimu watu wa carrier nyengine nao kupata ajira lilinitia hasira sana, Yes HASIRA na iwe hivyo kama ijawa kweli siku nitalifikisha kunapo husika.
Shit verified, enjoy your chai.!Someone to verify this shit
Ngoja tumsubiri Jaffo atoe nenoBaada ya tafrani kubwa Kuhusu ajira za walimu zilizotangazwa, hatimae kimya kimya walimu 5000 wapgwa stop baada,ya kugundulika hawana sifa za ualimu wengi wao wakiwa ni mathematician, engineer's, BVM na wataalam wa accountancy!
Hata hivyo chuo cha ekernfors Tanga,kimeingia ktk kashfa baada ya kugundulika wahitimu wake wote kaunzia 2017 wakipata ajira hizo
Hadi sasa swala la kuongeza masomo ya kufundishia ,linajadiliwa kupambana na uhaba wa walimu
Kwa engineer sawa kuna mawatu wengine eti account nkmkuu wale mainjinia si wanaenda fundisha shule za Tech, Sasa mwalimu utaweza fundisha masomo ya engineering?
Yaani uingilie ugari wangu wako upo safe useme chuki acha ujinga wewe.Asa vigezo vyenyewe vya uombaji wa izo nafasi ziliwataka ata wale wa waliosoma fani nyingne kuomba na vikaeleza wataajiliwa kama walimu ngazi husika...
Sioni kama hoja yako inamashiko zaidi ya chuki binafs tu badilika