Walimu 5000 kati ya 8000 walioajiriwa, wasitishiwa ajira zao

Facts sanaa hii [emoji1547]
 
Umetaja chuo cha Eckernford umenikumbusha mmiliki wake Mzee Remency Tarimo. Alikuwa Mzee wa kanisa KKKT brbr ya 8 Usharika wa Kana-Tanga. Na mtoto wake Emmanuel ni mpambanaji sana!
 
Serikali ya awamu ya 5 ajira sio kipaumbele chake. Chanzo cha ajira hizi ni kipindi cha kampeni baada ya Magufuli kubanwa koo na Lissu
 
Sizani kama panaukweli watu hao ni wengi sana
 
Umetaja chuo cha Eckernford umenikumbusha mmiliki wake Mzee Remency Tarimo. Alikuwa Mzee wa kanisa KKKT brbr ya 8 Usharika wa Kana-Tanga. Na mtoto wake Emmanuel ni mpambanaji sana!
Anapambana kwa naiba ya watanzania wanyonge sana
 
NA WAZIRI KUSEMA AJIRA ZILIZOBAKI ELFU 5 WAMESHATAWANYA WALIM WEEK 2 ZILIZOPITA IMEKAAJE NA WAKAT HAKUNA AJIRA WAMETOA
 
Hii hbr yakweli kabisa, kuna dogo karudi yupo kitaa, kibaya zaid alikua private akaacha kwa ajira ya serikali sahiz yupo mtaani maskin.
 
Hii hbr yakweli kabisa, kuna dogo karudi yupo kitaa, kibaya zaid alikua private akaacha kwa ajira ya serikali sahiz yupo mtaani maskin.
ebhnaaaeee sasa si watupe sisi wenye vigezo tupo tu mtaani jaman khaaa na hzo elfu 5 wanatoa mwaka gani maana wazir nae kasema walitoa week 2 zilizopta
 
Ata akiwa engineer lazima pia awe mwalimu, siyo kila engineer au mwasibu ni mwalimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…