Mkono Mmoja
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 3,359
- 6,568
Sasa kama mzazi mwenyeww ndio wewe na hupendi mwanao afanye mitihani hivi unadhani mwanao ndio atapenda mitihani? Kweli kilaza huzaa kilazawao wanaangalia pesa,na wasipoejda na pesa mboko,haya huko advance utakuta ni boarding kila wiki unatoa oesa kwa pocket mojey ipi🚮🚮
Watumie pesa wanazopewa na Serikali na sio kutoza wanafunzi
Sio Mwalimu ila siwezi support akili za kimaskini kama zako, mtoto anakuuma kumtolea elf 10 kwa mwezi, unaishije sasa we mtu?Acheni uhuni waheed ninyi,fuateni utaratibu wa kazi yenu mliyoipenda
Sio Kila mtu ni mwalimu ila hatuwezi support ujinga wenu, elfu 10 kwa mwezi kwa ajili ya mtoto shuleni unafungua na Uzi kabisa? PUMBAVUmpwayungu village njoo uone comment za walimu😁😁😁😁 njaa zitawaua hawa watu
Mimi siishi kutegemea ela za mitihani na hta ni njaa hayo maisha ya mtu binafs toa hoja kama mitihani hamtaki washaurini walimu waambieni hatutaki watoto wafanye mitihani mnakubaliana tu very simplempwayungu village njoo uone comment za walimu😁😁😁😁 njaa zitawaua hawa watu
Unajua kusoma tu,ama unajua kusoma na kuchambua maudhui?,au umetoka kuzini kwamba akili bado zipo kwenye nyonga?,Serikali inatoa pesa Za kufanyisha watoto mitihani?
Yaani kuna wazazi sijui mnawaza kwa kutumia nini!!
Hivi kabisa unalalama kwa mwanao kupewa mitihani?
Wapumbavu Hawa,Kuna Waswahili wenzetu waliwahi kusema "Ukiona Elimu Ghali jaribu Ujinga".
Kwa mahesabu ya haraka shilingi 1,200@wiki ina maana kwa mwezi ni shilingi 4,800/-
Hiyo si ni hela ya Bando unalotumia kujiunga kwa wiki?
Wakati mwingine Wazazi tujifunze kuwajibika, sio watoto wakipata Zero kwenye mitihani yao ya Taifa tuwalaumu Walimu wakati tunashindwa kulipia shilingi 4,800 ya mtoto kufanya mitihani ya kujipima
Umaskini wako unakusumbua unaleta hasira kwa walimu mpeleke mwanao shule ambayo hawanyi mitihani mara kwa maraHayatuhusu si maisha yao,sasa wanataka watupelekeshe sisi? Si walichagua wao wenyewe kuwa walimu?
Mzazi wa hivi hata akiombwa na mwanaye amlipie Masomo ya ziada wakati wa likizo (Tuition) hawezi kulipia.Serikali inatoa pesa Za kufanyisha watoto mitihani?
Yaani kuna wazazi sijui mnawaza kwa kutumia nini!!
Hivi kabisa unalalama kwa mwanao kupewa mitihani?
Ungekuwa hauna mtoto hapo usingekuja kulalama,washakupata ndo maana unalalamaMimi hawawezi kupata
Acha kuleta hoja nyepesi,mitihani gani kila baada ya siku 3?,mitihani gani masahihisho yanalipiwa?,haya basi wafaulu au wawe logical but bado ndio hao wanaongoza kwa kufeliMimi siishi kutegemea ela za mitihani na hta ni njaa hayo maisha ya mtu binafs toa hoja kama mitihani hamtaki washaurini walimu waambieni hatutaki watoto wafanye mitihani mnakubaliana tu very simple
Tatzo sio hiyo pesa tatizo ni sababu yakutoa hiyo pesa,always self justification ni complicated sana kama hujawa dominantWapumbavu Hawa,
Unajua Kuna masomo mangapi? 3 weeks interval Ina maana kwa wiki maximum mitihani miwili, masomo yapo mangapi? Au kwa akili yako wanafanya SoMo Moja tu?Amekuambia kila baada ya siku 3 wewe unsleta mambo ya wiki, nyie ndio walimu wenyewe ndani ya siku3 mwalimu anakuwa kamaliza hata nusu ya topic?