Mkono Mmoja
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 3,359
- 6,568
Mradi mzuri huo....kama shule ktk kila kidato ina wanafunzi 500 tu.. kwa wiki ukipiga hesabu 1200*3... Kwa mwezi unapata unapata 3600*500*4 ambayo ni Milioni 7.2. Ukitoa gharama halisi za kuchapicha hiyo mitihani hazizidi laki 5....
Walimu wanabaki na faida ya shilingi milioni 6 kwa mwaka sio chini ya milioni 50. Wakigawana hapo kila mtu anaenda kumalizia ujenzi wa nyumba yake.
Walimu oyeeeeeeee!!!!
Walimu wanabaki na faida ya shilingi milioni 6 kwa mwaka sio chini ya milioni 50. Wakigawana hapo kila mtu anaenda kumalizia ujenzi wa nyumba yake.
Walimu oyeeeeeeee!!!!