Walimu acheni tamaa za ovyo

Walimu acheni tamaa za ovyo

Mradi mzuri huo....kama shule ktk kila kidato ina wanafunzi 500 tu.. kwa wiki ukipiga hesabu 1200*3... Kwa mwezi unapata unapata 3600*500*4 ambayo ni Milioni 7.2. Ukitoa gharama halisi za kuchapicha hiyo mitihani hazizidi laki 5....

Walimu wanabaki na faida ya shilingi milioni 6 kwa mwaka sio chini ya milioni 50. Wakigawana hapo kila mtu anaenda kumalizia ujenzi wa nyumba yake.


Walimu oyeeeeeeee!!!!
 
wao wanaangalia pesa,na wasipoejda na pesa mboko,haya huko advance utakuta ni boarding kila wiki unatoa oesa kwa pocket mojey ipi🚮🚮
Sasa kama mzazi mwenyeww ndio wewe na hupendi mwanao afanye mitihani hivi unadhani mwanao ndio atapenda mitihani? Kweli kilaza huzaa kilaza
 
Kuna Waswahili wenzetu waliwahi kusema "Ukiona Elimu Ghali jaribu Ujinga".

Kwa mahesabu ya haraka shilingi 1,200@wiki ina maana kwa mwezi ni shilingi 4,800/-

Hiyo si ni hela ya Bando unalotumia kujiunga kwa wiki?

Wakati mwingine Wazazi tujifunze kuwajibika, sio watoto wakipata Zero kwenye mitihani yao ya Taifa tuwalaumu Walimu wakati tunashindwa kulipia shilingi 4,800 ya mtoto kufanya mitihani ya kujipima
 
Acheni uhuni waheed ninyi,fuateni utaratibu wa kazi yenu mliyoipenda
Sio Mwalimu ila siwezi support akili za kimaskini kama zako, mtoto anakuuma kumtolea elf 10 kwa mwezi, unaishije sasa we mtu?
 
Serikali inatoa pesa Za kufanyisha watoto mitihani?
Yaani kuna wazazi sijui mnawaza kwa kutumia nini!!

Hivi kabisa unalalama kwa mwanao kupewa mitihani?
Unajua kusoma tu,ama unajua kusoma na kuchambua maudhui?,au umetoka kuzini kwamba akili bado zipo kwenye nyonga?,
 
Kuna Waswahili wenzetu waliwahi kusema "Ukiona Elimu Ghali jaribu Ujinga".

Kwa mahesabu ya haraka shilingi 1,200@wiki ina maana kwa mwezi ni shilingi 4,800/-

Hiyo si ni hela ya Bando unalotumia kujiunga kwa wiki?

Wakati mwingine Wazazi tujifunze kuwajibika, sio watoto wakipata Zero kwenye mitihani yao ya Taifa tuwalaumu Walimu wakati tunashindwa kulipia shilingi 4,800 ya mtoto kufanya mitihani ya kujipima
Wapumbavu Hawa,
 
Na nyie mmezidi malalamiko bwana,1200 anakula sh ngapi hapo,hiyo hiyo achape mtihani,atunge mtihani,asahihishe kwa hiyo hela?
Muwege mnahudhuria vikao vya shule ili mambo msiyoyataka myakatae
Shida ya wazazi wengi hamtaki kujihusisha kwenye mambo ya elimu za watoto wenu
 
Hayatuhusu si maisha yao,sasa wanataka watupelekeshe sisi? Si walichagua wao wenyewe kuwa walimu?
Umaskini wako unakusumbua unaleta hasira kwa walimu mpeleke mwanao shule ambayo hawanyi mitihani mara kwa mara
 
  • Thanks
Reactions: EEX
Hiyo ni njia mojawapo ya walimu kujinufaisha tu baada ya michango kupigwa marufuku
 
mtoa mada mi sijaelewa tatizo lipo kwenye watoto kufanya mitihani au ni kwenye 1700…kama wangekua wanafanya bure ungelalamika?? Na kama ni kuhusu pesa ni vyema uombe wazazi wengine muitishe kikao cha shule mjadiliane nyie mnaona kifanyike nini watoto wafanye hiyo mitihani bila nyie kutoa pesa. Maana kiukweli sio kila mzazi anauwezo kupata 1700 kila baada ya siku tatu ukizingatia labda ana mtoto zaidi ya mmoja
 
Serikali inatoa pesa Za kufanyisha watoto mitihani?
Yaani kuna wazazi sijui mnawaza kwa kutumia nini!!

Hivi kabisa unalalama kwa mwanao kupewa mitihani?
Mzazi wa hivi hata akiombwa na mwanaye amlipie Masomo ya ziada wakati wa likizo (Tuition) hawezi kulipia.
 
Mtu anakomaa na elfu moja na miambili lakini anammuita mheshimiwa yule anayemmuibia dola milioni 50.


Ndiio maana magereza zetu zimejaa vibaka tu ila majizi orijino yanatamba na Vx
 
Mimi siishi kutegemea ela za mitihani na hta ni njaa hayo maisha ya mtu binafs toa hoja kama mitihani hamtaki washaurini walimu waambieni hatutaki watoto wafanye mitihani mnakubaliana tu very simple
Acha kuleta hoja nyepesi,mitihani gani kila baada ya siku 3?,mitihani gani masahihisho yanalipiwa?,haya basi wafaulu au wawe logical but bado ndio hao wanaongoza kwa kufeli
Wapumbavu Hawa,
Tatzo sio hiyo pesa tatizo ni sababu yakutoa hiyo pesa,always self justification ni complicated sana kama hujawa dominant
 
Amekuambia kila baada ya siku 3 wewe unsleta mambo ya wiki, nyie ndio walimu wenyewe ndani ya siku3 mwalimu anakuwa kamaliza hata nusu ya topic?
Unajua Kuna masomo mangapi? 3 weeks interval Ina maana kwa wiki maximum mitihani miwili, masomo yapo mangapi? Au kwa akili yako wanafanya SoMo Moja tu?

Miaka Hio special schools kama kibaha, ilboru , mzumbe kulikua na fitness tests, anatunga mwanafunzi wengine mnafanya japo ilikua sio lazima, karibia Kila wiki kulikua na fitness tests zaidi ya 5 na kuna watu tulikua tunafanya zote, lisaa limoja kwa siku kitu gani kwani? Mbona zilitutoa

Nyi wapumbavu hamtaki watoto wafanye mitihani au?
 
Mtanyooka mwaka huuuu
Huku mwapigwa mabilioni na walamba asali...
Huku mwapigwa vi buku buku vyenu....hahaha..
Seriously me naona buku haitoshi...atunge mtihani, a print, apige copy , asimamie, asahishe , achakate matokeo na afanye corrections...!!
Unless ibaki mitihani Ile ya midterm na ya mwisho wa mihula!!!

Na Kwa nature ya watoto wa siku hizi...mzazi lazima uvune mabua...watoto Wana bet wanawaza ku bet na kudanga Tu!! (Na hii ni asilimia kubwa).
 
Back
Top Bottom