CHIEFMANGU
JF-Expert Member
- Dec 19, 2016
- 528
- 800
Mhamishe mtoto wako, mpeleke Feza schools huko, hakuna michango ya buku buku, utakuwa vere komfotabo!Usitudanganye we paka aliyekwambia mitihani inaleta sharpness nani? Kwa asilimia zote,,tamaa na shida za hovyo zinawasumhua,kuna muongozo wa elimu unaeleza ni kiasi gani cha mitihani mwanafunzi anatakiwa apewe na kila baada ya muda flani,usitujaze upepo
Weee jamaa inaonyesha una uwezo mdogo sana wa kufikirikama ni hitaji basi si walimu wale hiyo elimu yao kama ilivyo
Poa mkuu. Nimekuelewa. Ngoja nikaze nisilete ujuaji wa mitandaonihizo ni gharama nzur tu kama unalalamika bas uchumi wako sio mzur hahaaa
Kwa hiyo unajua nini mzee? Kingereza? π€ͺπ€ͺπ€ͺ Masikini bwana wakipata huwa tatizo sana πππ hapo lazima mwanao awe kilaza tu kama wewe mwenyewe.Hata lafudhi yangu mimi ni kizungumkuti,japo sina affiliation yeyote na na venecular,,hivyo kiswahili kwangu badomsiijui ipasavyo
Wewe unaumia nini, ivi kuna watu wamevurugwa aisee?!! Kama huna cha kupost cha maana, kalaleSiku hizi shule nyingi za Serikali msingi na sekondari hasa za kutwa walimu wanawafanyisha wanafunzi mitihani kila baada ya siku 3 na wanalipa 1200 au zaidi.
Hivi kila baada ya siku tatu kipi kipya wanakuwa wamefundisha watoto mpaka wawafanyishe mitihani? Hivi kufanya mitihani kila mara ni kipimo cha uelewa?
Ni kweli maslahi yenu ni madogo lakini msichukulie sababu ya kufanya uhuni, hata kama maslahi madogo hakuna mtu aliwachagulia hiyo kazi.
Walimu hoyeeButimba sekondari ya mwanza michango ni kama ifuatavyo.
1. Gharama za photocopy- 5000@month
2. Gharama za chakula-30000@month
3. Gharama za tuisheni-1000@month
4. Gharama za walimu wa kujitolea- 2000@month
5. Tisheti - 12000
6. Rim papers-16000 as per now.
Jumla kuu: kwa mwezi ni 38,000/ ukitoa tisheti na rim zinazojumuishwa kwenye grand total ya mwaka mzima.
Hapo mzazi hajagharamikia nauli ya mwanae.
Kweli walimu wameamua kunyoosha makucha.
Mwisho kabisa. Wanafunzi wa form one hawasomi na mkuu wa shule amedai watafundishwa masomo mawili tu mwaka huu,
Hesabu Na kiingereza.
Rais Samia toa ajira usaidie watoto wa watanzania.
Yaani 1200 tu unalia! Wenzako wanalipa mamilioni kila mwaka kuwasomesha watoto wao katika shule zenye ubora, ili wafanikiwe hapo baadaye!Hayatuhusu si maisha yao, sasa wanataka watupelekeshe sisi? Si walichagua wao wenyewe kuwa walimu?
Magufuli aliwadumaza sana akili kwa kuwaaminisha kuna kitu kinachoitwa elimu bure katjka nchi inayokumbatia ubepari kwa sasa kama Tanzania.Watumie pesa wanazopewa na Serikali na sio kutoza wanafunzi
Ukute na huyu hata Kodi halipi,watu wanaiba 4b tshs,ila 1200 inamtoa mtu udendaYaani 1200 tu unalia! Wenzako wanalipa mamilioni kila mwaka kuwasomesha watoto wao katika shule zenye ubora, ili wafanikiwe hapo baadaye!
Ukiendelea kupenda elimu ya bure kwa watoto wako, maana yake na wenyewe watakuwa na maisha kama ya kwako ya kulialia, na kupenda vya bure.
1200 Γ3= 3600 kwa mwezi Ni 28000,,Sijakuelewa mkuu. Hivi ni hupendi mwanao afanye mtihani kila baada ya siku 3 au huna iyo shs 1200 ya kulipa kila baada ya siku 3?
Kupitia hii hesabu yako! Hao wanafunzi sasa watakuwa wanasoma muda gani?1200 Γ3= 3600 kwa mwezi Ni 28000,,
Kwa mwaka umelipa pesa ngp?
Na bado Kuna masomo hawafundishi vzr darasani wanalazimisha tuition 15000 kwa mwezi.
Mleta mada ana hoja nzr ya kujadiliwa,,
Wewe kama ni mwalimu basi endelea kuchungulia comments.,
Sent from my 2201117SG using JamiiForums mobile app
Jibu hojaNi shughuli sio shughuri
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]PESA tamu mkuu,, hili Bandiko lako ni sawa na kumpigia mbuzi gitaaa
Wakiibiwa na mafisadi kama yule polisi aliyekwapua 4b za walipa Kodi huwasikii wakilalamikaWakale wapi Jamani ππ
ππππ€£Jibu hoja
Kwa week wanafanya mtihani mara 3,,Kupitia hii hesabu yako! Hao wanafunzi sasa watakuwa wanasoma muda gani?
Mkumbuke kizazi cha sasa kina mambo mengi vichwani mwao. Mkitaka wasifanye majaribio ya mara kwa mara, hao watoto wenu watafanya vibaya kwenye mitihani yao.Kwa week wanafanya mtihani mara 3,,
Wanaita speed test.,
Hii inakuwa kila baada ya siku 1 ya pili test in the morning,,
Like 1 hour...
Yale masomo korofi ndy target kwao,
Mathematics,
Physics,
Chemist,
Nk.
Sent from my 2201117SG using JamiiForums mobile app