Walimu acheni tamaa za ovyo

Walimu acheni tamaa za ovyo

Usitudanganye we paka aliyekwambia mitihani inaleta sharpness nani? Kwa asilimia zote,,tamaa na shida za hovyo zinawasumhua,kuna muongozo wa elimu unaeleza ni kiasi gani cha mitihani mwanafunzi anatakiwa apewe na kila baada ya muda flani,usitujaze upepo
Mhamishe mtoto wako, mpeleke Feza schools huko, hakuna michango ya buku buku, utakuwa vere komfotabo!
 
Hata lafudhi yangu mimi ni kizungumkuti,japo sina affiliation yeyote na na venecular,,hivyo kiswahili kwangu badomsiijui ipasavyo
Kwa hiyo unajua nini mzee? Kingereza? 🤪🤪🤪 Masikini bwana wakipata huwa tatizo sana 😁😁😁 hapo lazima mwanao awe kilaza tu kama wewe mwenyewe.
 
Siku hizi shule nyingi za Serikali msingi na sekondari hasa za kutwa walimu wanawafanyisha wanafunzi mitihani kila baada ya siku 3 na wanalipa 1200 au zaidi.

Hivi kila baada ya siku tatu kipi kipya wanakuwa wamefundisha watoto mpaka wawafanyishe mitihani? Hivi kufanya mitihani kila mara ni kipimo cha uelewa?

Ni kweli maslahi yenu ni madogo lakini msichukulie sababu ya kufanya uhuni, hata kama maslahi madogo hakuna mtu aliwachagulia hiyo kazi.
Wewe unaumia nini, ivi kuna watu wamevurugwa aisee?!! Kama huna cha kupost cha maana, kalale
 
Butimba sekondari ya mwanza michango ni kama ifuatavyo.
1. Gharama za photocopy- 5000@month
2. Gharama za chakula-30000@month
3. Gharama za tuisheni-1000@month
4. Gharama za walimu wa kujitolea- 2000@month
5. Tisheti - 12000
6. Rim papers-16000 as per now.
Jumla kuu: kwa mwezi ni 38,000/ ukitoa tisheti na rim zinazojumuishwa kwenye grand total ya mwaka mzima.
Hapo mzazi hajagharamikia nauli ya mwanae.
Kweli walimu wameamua kunyoosha makucha.

Mwisho kabisa. Wanafunzi wa form one hawasomi na mkuu wa shule amedai watafundishwa masomo mawili tu mwaka huu,
Hesabu Na kiingereza.

Rais Samia toa ajira usaidie watoto wa watanzania.
Walimu hoyee
 
Hayatuhusu si maisha yao, sasa wanataka watupelekeshe sisi? Si walichagua wao wenyewe kuwa walimu?
Yaani 1200 tu unalia! Wenzako wanalipa mamilioni kila mwaka kuwasomesha watoto wao katika shule zenye ubora, ili wafanikiwe hapo baadaye!

Ukiendelea kupenda elimu ya bure kwa watoto wako, maana yake na wenyewe watakuwa na maisha kama ya kwako ya kulialia, na kupenda vya bure.
 
Mitihani inayoandaliwa kwa ajili ya kujikimu haina maana yeyote huyo mwalimu anayeandaa mitihani kila baada ya cku 3 anapata wapi muda wa kuandaa vipindi vzr
 
Watumie pesa wanazopewa na Serikali na sio kutoza wanafunzi
Magufuli aliwadumaza sana akili kwa kuwaaminisha kuna kitu kinachoitwa elimu bure katjka nchi inayokumbatia ubepari kwa sasa kama Tanzania.
 
Yaani 1200 tu unalia! Wenzako wanalipa mamilioni kila mwaka kuwasomesha watoto wao katika shule zenye ubora, ili wafanikiwe hapo baadaye!

Ukiendelea kupenda elimu ya bure kwa watoto wako, maana yake na wenyewe watakuwa na maisha kama ya kwako ya kulialia, na kupenda vya bure.
Ukute na huyu hata Kodi halipi,watu wanaiba 4b tshs,ila 1200 inamtoa mtu udenda
 
Sijakuelewa mkuu. Hivi ni hupendi mwanao afanye mtihani kila baada ya siku 3 au huna iyo shs 1200 ya kulipa kila baada ya siku 3?
1200 ×3= 3600 kwa mwezi Ni 28000,,

Kwa mwaka umelipa pesa ngp?

Na bado Kuna masomo hawafundishi vzr darasani wanalazimisha tuition 15000 kwa mwezi.

Mleta mada ana hoja nzr ya kujadiliwa,,
Wewe kama ni mwalimu basi endelea kuchungulia comments.,

Sent from my 2201117SG using JamiiForums mobile app
 
1200 ×3= 3600 kwa mwezi Ni 28000,,

Kwa mwaka umelipa pesa ngp?

Na bado Kuna masomo hawafundishi vzr darasani wanalazimisha tuition 15000 kwa mwezi.

Mleta mada ana hoja nzr ya kujadiliwa,,
Wewe kama ni mwalimu basi endelea kuchungulia comments.,

Sent from my 2201117SG using JamiiForums mobile app
Kupitia hii hesabu yako! Hao wanafunzi sasa watakuwa wanasoma muda gani?
 
Kupitia hii hesabu yako! Hao wanafunzi sasa watakuwa wanasoma muda gani?
Kwa week wanafanya mtihani mara 3,,

Wanaita speed test.,
Hii inakuwa kila baada ya siku 1 ya pili test in the morning,,
Like 1 hour...


Yale masomo korofi ndy target kwao,
Mathematics,
Physics,
Chemist,
Nk.


Sent from my 2201117SG using JamiiForums mobile app
 
Kwa week wanafanya mtihani mara 3,,

Wanaita speed test.,
Hii inakuwa kila baada ya siku 1 ya pili test in the morning,,
Like 1 hour...


Yale masomo korofi ndy target kwao,
Mathematics,
Physics,
Chemist,
Nk.


Sent from my 2201117SG using JamiiForums mobile app
Mkumbuke kizazi cha sasa kina mambo mengi vichwani mwao. Mkitaka wasifanye majaribio ya mara kwa mara, hao watoto wenu watafanya vibaya kwenye mitihani yao.

Watieni moyo walimu. Maana wanapambana sana. Kama mzazi hafahamu mchanganuo wa hiyo 1200, alitakiwa kwenda shile husika kuilizia ili aelewe.

Kukimnilia tu humu jukwani kulalamika, ni moja ya dalili ya kutojitambua kwa mzazi husika.
 
Back
Top Bottom