Walimu acheni tamaa za ovyo

Walimu acheni tamaa za ovyo

Usitudanganye we paka aliyekwambia mitihani inaleta sharpness nani? Kwa asilimia zote,,tamaa na shida za hovyo zinawasumhua,kuna muongozo wa elimu unaeleza ni kiasi gani cha mitihani mwanafunzi anatakiwa apewe na kila baada ya muda flani,usitujaze upepo
Tafuta pesa kijana, huwezi kuja kulia Lia kwa wanaume kisa sijui 1300 kwa wiki, na we unaitwa baba? Afu mtoto wako anasoma shule ambayo huna contants za walimu wake? Kama imekuuma sana piga simu shuleni, narudia tena PUMBAVU!!
 
Mimi kwanza wanangu hawajawahi kusoma huko ,na hiyo 1300 si kitu kwangu,nazungumzia lengo la wao kutoa mitihani si watoto wafanye mitihani bali mchongo wakupata pesa,imagine hata kufanya masahihisho ya mtihani wanataka pesa tena
Kama watoto wako hawasomi huko unawashwa na Nini sasa?
 
Simple.Nenda shuleni kawaambie hutaki mwanao afanye mitihani huna hela.Au siku ya mitihani asiende kabisa akusaidie kazi nyum
Daah! Bongo sihami 🤣🤣🤣
Yaani mtihani ulele aliolipia,wakafanya masahihisho yake tena wanataka kiasi kama kilekile,bado huoni kama ni business kweli,wanawahadaa sana wazazi,,lakini bado ndio shule zinaongoza kwa kufeli
 
Tafuta pesa kijana, huwezi kuja kulia Lia kwa wanaume kisa sijui 1300 kwa wiki, na we unaitwa baba? Afu mtoto wako anasoma shule ambayo huna contants za walimu wake? Kama imekuuma sana piga simu shuleni, narudia tena PUMBAVU!!
Acheni uhuni waheed ninyi,fuateni utaratibu wa kazi yenu mliyoipenda
 
Wazazi wenye akili mgando, mwanao anafanya mitihani anapata sharpness na kuzoea mitihani mzazi analalamika,

Tutafte pesa kwa bidii wanajamii forum wenzangu, sasa sijui hio 1300 kwa mwezi hata elfu 10 haifiki ndo kitu Cha kulalalama tena kwenye elimu ya mwanao?? Kila mtu anajua anakula vipi kazini kwake, sioni tatizo walimu wakipata chochote kitu ilhali wanasaidia wanafunzi

Msione Kila siku kemebos sijus st Francis wanaleta division 1 cream mnalalamika sijui wanaiba mitihani, Hawa watoto wanafundishwa haswa na wanaofanya mitihani Kila wiki, hata kama wanafanya ujanja bado ni kuwaboost wanafunzi ambao wapo sharp, mitoto kama ya taifa sekondari hata ukiyapa mitihani inayofanya kesho ilale nayo bado Kuna mingine itafeli tu, maana unakuta hata English changamoto

wazazi tuachane kulalama Dunia imebadilika , mnalia Lia hizo elf 10 kwa mwezi wakati nursery watu wanalipa zaidi ya milion 2 kwa mwaka, shauri yenu na watoto wenu bana

Nimesahau kitu, PUMBAVU!!

Tatizo ni kwamba mfumo wa elimu yetu ni "examination oriented" ili mtoto afauli inabidi azoe mitahani mbali mbali mpaka akalili majibu.

Sasa walimu unakaa nao mtaani kwako,unakuja kutuambia sisi huku...

Hivi unadhani walimu watatajirika na hicho kibuku chako unachotoa?

Mkuu walimu wanamaisha magumu sana hyo buku haiwafikishi popote...

Vitu vingine vinashangaza, nilitegemea awape hata pongezi

Acha wapate hizo hela zenu.

Simple.Nenda shuleni kawaambie hutaki mwanao afanye mitihani huna hela.Au siku ya mitihani asiende kabisa akusaidie kazi nyumbani.

Tafuta pesa kijana, huwezi kuja kulia Lia kwa wanaume kisa sijui 1300 kwa wiki, na we unaitwa baba? Afu mtoto wako anasoma shule ambayo huna contants za walimu wake? Kama imekuuma sana piga simu shuleni, narudia tena PUMBAVU!!

Kama watoto wako hawasomi huko unawashwa na Nini sasa?

acha lawama,wewe huna hela Uliambiwa umpeleke kayumba?

Wakikusanya hizo Hela mitihani haifanyiki?
mpwayungu village njoo uone comment za walimu😁😁😁😁 njaa zitawaua hawa watu
 
Back
Top Bottom