TheForgotten Genious
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 2,087
- 3,156
- Thread starter
- #21
Acheni hizk buni njia nyingine ya kuongeza mapatoUtawapa tu,
hapa hata hawa wa tuition yangu nimewaambia lazima wawe wanafanya mitihani, acha waalim wajiongezee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acheni hizk buni njia nyingine ya kuongeza mapatoUtawapa tu,
hapa hata hawa wa tuition yangu nimewaambia lazima wawe wanafanya mitihani, acha waalim wajiongezee
Tafuta pesa kijana, huwezi kuja kulia Lia kwa wanaume kisa sijui 1300 kwa wiki, na we unaitwa baba? Afu mtoto wako anasoma shule ambayo huna contants za walimu wake? Kama imekuuma sana piga simu shuleni, narudia tena PUMBAVU!!Usitudanganye we paka aliyekwambia mitihani inaleta sharpness nani? Kwa asilimia zote,,tamaa na shida za hovyo zinawasumhua,kuna muongozo wa elimu unaeleza ni kiasi gani cha mitihani mwanafunzi anatakiwa apewe na kila baada ya muda flani,usitujaze upepo
Daah! Bongo sihami 🤣🤣🤣imagine hata kufanya masahihisho ya mtihani wanataka pesa tena
Kama watoto wako hawasomi huko unawashwa na Nini sasa?Mimi kwanza wanangu hawajawahi kusoma huko ,na hiyo 1300 si kitu kwangu,nazungumzia lengo la wao kutoa mitihani si watoto wafanye mitihani bali mchongo wakupata pesa,imagine hata kufanya masahihisho ya mtihani wanataka pesa tena
Simple.Nenda shuleni kawaambie hutaki mwanao afanye mitihani huna hela.Au siku ya mitihani asiende kabisa akusaidie kazi nyum
Yaani mtihani ulele aliolipia,wakafanya masahihisho yake tena wanataka kiasi kama kilekile,bado huoni kama ni business kweli,wanawahadaa sana wazazi,,lakini bado ndio shule zinaongoza kwa kufeliDaah! Bongo sihami 🤣🤣🤣
acha lawama,wewe huna hela Uliambiwa umpeleke kayumba?Hayatuhusu si maisha yao,sasa wanataka watupelekeshe sisi? Si walichagua wao wenyewe kuwa walimu?
Acheni tamaa,kwani kupinga kutu mpaka kikuhusu,takataka kabisaKama watoto wako hawasomi huko unawashwa na Nini sasa?
Wewe unakusanya ngapi kwa wiki?Kitu ninachokipenda
Hakuna mwanangu kasoma hukoacha lawama,wewe huna hela Uliambiwa umpeleke kayumba?
mpwayungu village ona huyu mwalimuSijakuelewa mkuu
Hivi ni hupendi mwanao afanye mtihani kila baada ya siku 3 au huna iyo shs 1200 ya kulipa kila baada ya siku 3?
HUWAZI KUTAKA PESA KUPITIA KUUZA MISHIKAKI HALAFU USIWE NAYO HIYO MISHIKAKI,HATA YA MMBWA UTAUZA TUWakikusanya hizo Hela mitihani haifanyiki?
SijaelewaHUWAZI KUTAKA PESA KUPITIA KUUZA MISHIKAKI HALAFU USIWE NAYO HIYO MISHIKAKI,HATA YA MMBWA UTAUZA TU
Ili nilipe kodi au?Wewe unakusanya ngapi kwa wiki?
Acheni uhuni waheed ninyi,fuateni utaratibu wa kazi yenu mliyoipendaTafuta pesa kijana, huwezi kuja kulia Lia kwa wanaume kisa sijui 1300 kwa wiki, na we unaitwa baba? Afu mtoto wako anasoma shule ambayo huna contants za walimu wake? Kama imekuuma sana piga simu shuleni, narudia tena PUMBAVU!!
Wazazi wenye akili mgando, mwanao anafanya mitihani anapata sharpness na kuzoea mitihani mzazi analalamika,
Tutafte pesa kwa bidii wanajamii forum wenzangu, sasa sijui hio 1300 kwa mwezi hata elfu 10 haifiki ndo kitu Cha kulalalama tena kwenye elimu ya mwanao?? Kila mtu anajua anakula vipi kazini kwake, sioni tatizo walimu wakipata chochote kitu ilhali wanasaidia wanafunzi
Msione Kila siku kemebos sijus st Francis wanaleta division 1 cream mnalalamika sijui wanaiba mitihani, Hawa watoto wanafundishwa haswa na wanaofanya mitihani Kila wiki, hata kama wanafanya ujanja bado ni kuwaboost wanafunzi ambao wapo sharp, mitoto kama ya taifa sekondari hata ukiyapa mitihani inayofanya kesho ilale nayo bado Kuna mingine itafeli tu, maana unakuta hata English changamoto
wazazi tuachane kulalama Dunia imebadilika , mnalia Lia hizo elf 10 kwa mwezi wakati nursery watu wanalipa zaidi ya milion 2 kwa mwaka, shauri yenu na watoto wenu bana
Nimesahau kitu, PUMBAVU!!
Tatizo ni kwamba mfumo wa elimu yetu ni "examination oriented" ili mtoto afauli inabidi azoe mitahani mbali mbali mpaka akalili majibu.
Sasa walimu unakaa nao mtaani kwako,unakuja kutuambia sisi huku...
Hivi unadhani walimu watatajirika na hicho kibuku chako unachotoa?
Mkuu walimu wanamaisha magumu sana hyo buku haiwafikishi popote...
Vitu vingine vinashangaza, nilitegemea awape hata pongezi
Acha wapate hizo hela zenu.
Simple.Nenda shuleni kawaambie hutaki mwanao afanye mitihani huna hela.Au siku ya mitihani asiende kabisa akusaidie kazi nyumbani.
Tafuta pesa kijana, huwezi kuja kulia Lia kwa wanaume kisa sijui 1300 kwa wiki, na we unaitwa baba? Afu mtoto wako anasoma shule ambayo huna contants za walimu wake? Kama imekuuma sana piga simu shuleni, narudia tena PUMBAVU!!
Kama watoto wako hawasomi huko unawashwa na Nini sasa?
acha lawama,wewe huna hela Uliambiwa umpeleke kayumba?
mpwayungu village njoo uone comment za walimu😁😁😁😁 njaa zitawaua hawa watuWakikusanya hizo Hela mitihani haifanyiki?
Nawe hukuambiwa uzae mtoto ushindwe mtimizia mahitajiHayatuhusu si maisha yao,sasa wanataka watupelekeshe sisi? Si walichagua wao wenyewe kuwa walimu?