Walimu acheni tamaa za ovyo

Walimu acheni tamaa za ovyo

Wapumbavu Hawa,
Kwa kweli, huwezi kulalamika kwa jambo muhimu kama hili unless Mzazi pia awe hapendi shule.

Najitolea kwa mtoa mada akishindwa kumlipia kijana wake hiyo 4,800 kwa mwezi ili afanye hiyo mitihani basi nipo tayari kumlipia miezi yote 8 iliyobaki.
 
3 weeks interval Ina maana kwa wiki maximum mitihani miwili,
Umesoma mada au unatunga yakwako? mtoa hoja kaesa SIKU3 we mambo ya wiki unayatoa wapi MWALIMU? Jikite kwenye HOJA ILIYOPO MEZANI
 
Unajua Kuna masomo mangapi? 3 weeks interval Ina maana kwa wiki maximum mitihani miwili, masomo yapo mangapi? Au kwa akili yako wanafanya SoMo Moja tu?
"Siku hizi shule nyingi za Serikali msingi na sekondari hasa za kutwa walimu wanawafanyisha wanafunzi mitihani kila baada ya siku 3 na wanalipa 1200 au zaidi." MWISHO WA KUNUKUU
 
Ungekuwa hauna mtoto hapo usingekuja kulalama,washakupata ndo maana unalalama
Soma hilo jina la mwisho,umeona hiyo ni shule ya msingi janja janja? Acha kukalili
 

Attachments

  • 20230330_084535.jpg
    20230330_084535.jpg
    102.6 KB · Views: 2
Mtoa mada unaonekana uelewa wako mdogo Sana kuhusu elimu,unaeuliza Kama kufanya mitihani Ni kipimo Cha uelewa kweli ndio swali la kuuliza hili?unataka mwanao afanye mtihani kila baada ya miezi mitatu alafu afaulu?tafuta pesa ukiona hizo pesa unamtajilisha mwalimu na mwanao hamna anachopata Basi kaa na mwanao nyumbani umfundishe mwenyewe
 
Mtoa mada unaonekana uelewa wako mdogo Sana kuhusu elimu,unaeuliza Kama kufanya mitihani Ni kipimo Cha uelewa kweli ndio swali la kuuliza hili?unataka mwanao afanye mtihani kila baada ya miezi mitatu alafu afaulu?tafuta pesa ukiona hizo pesa unamtajilisha mwalimu na mwanao hamna anachopata Basi kaa na mwanao nyumbani umfundishe mwenyewe
Usinipange umejibu sehemu ambayo ni muhimu kwako,muongozo unasemaje?
 
Kwa hiyo siku hizi ukitoa hoja inayohusu suala la jumla basi maana yake umeshindwa kugharqmika? Mbona kichwa kikubwa lakini slow learner🚮🚮🚮
Mkuu mzazi ukiona umeanza kulalama masuala yanayohusu matumizi ya fedha kwaajili ya mwanao basi maana yake huna uwezo wa kulea.
 
Sijakuelewa mkuu
Hivi ni hupendi mwanao afanye mtihani kila baada ya siku 3 au huna iyo shs 1200 ya kulipa kila baada ya siku 3?
Upigaji eti mpk mitihani ya kufungia shule buku buku. Sisi tulikua tunafanya pepa jmos tu ya kulipia.. na hapo ni utaratibu wa madarsa ya juu std 5 na kuendelea. Sasa hawa hawana cha drs la kwanza wala la 7. Ni mitihani tu ni hela tu.. and ofcoz hela ni ngumu! Upigaji waziwazi
 
inaonekana hata kula yako ya shida sana, fanyakaz kwa bidii watoto wapate elimu bora, unalalamika 1200 ungesomesha mtoto private si ungekufa wewe... Mwanaume unalalamika 1200 ya
 
Wanafunzi wamapaswa jengewa uwezo wa uelewa wa mambo na sio kufundishwa faulu mitihani.

Wakitoka shule hawawezi kujieleza tofauti sababu wao kila siku wanakaririshwa kuhusu jinsi ya kujibu mitihani, hii inaanza darasa la 4 na kuendelea.

Hatutaweza kuwa na taifa la ugunduzi
 
Butimba sekondari ya mwanza michango ni kama ifuatavyo.
1. Gharama za photocopy- 5000@month
2. Gharama za chakula-30000@month
3. Gharama za tuisheni-1000@month
4. Gharama za walimu wa kujitolea- 2000@month
5. Tisheti - 12000
6. Rim papers-16000 as per now.
Jumla kuu: kwa mwezi ni 38,000/ ukitoa tisheti na rim zinazojumuishwa kwenye grand total ya mwaka mzima.
Hapo mzazi hajagharamikia nauli ya mwanae.
Kweli walimu wameamua kunyoosha makucha.

Mwisho kabisa. Wanafunzi wa form one hawasomi na mkuu wa shule amedai watafundishwa masomo mawili tu mwaka huu,
Hesabu Na kiingereza.

Rais Samia toa ajira usaidie watoto wa watanzania.
Dah!

Hakika jamii haiwapendi Walimu.

Kwanza hakuna elimu bila malipo,bali kuna ELIMU BURE. Hizo fedha za serikali kila Mwanafunzi analipiwa kiasi kisichofika 500@,lkn hapo hapo UMISETA wanataka 1200@.

Kuhusu kidato cha kwanza hapo ndipo umedhihirisha chuki zako kwa Walimu.
Serikali inalazimisha hao watoto wasisome chochote ikiwa hawajajua kiingereza ilihali huko waliko toka ufaulu ni 100% lkn kiuhalisia wengine hata majina yao tu kuandika hawawezi.

Mimi nadhani waulize TAMISEMI siju WIZARA YA ELIMU wakuambie ikiwa hapo wanasoma pre form one, English course au form one?

Alafu,jengeni utaratibu wa kuwa mnaenda shuleni ili mpate taarifa sahihi kwani niliko mimi ratiba za mitihani hiyo mnayodai hutolewa na halmashauri.

Na kiukweli ni utitili wa mitihani kiasi kwamba muda wa kufundisha na kusoma ni mchache ukilinganisha na muda wa ufanyishaji mitihani na usahihishaji. Km shuleni asomako mtoto wako kuna Mwl anatenga muda wake wa ziada kumfundisha mwanao japo kwa kiasi kidogo cha fedha,muongeze kwani amechagua kuacha kujumuika na familia yake,shughuli zake binafsi na kuchagua kumfundisha mwanao.
 
Unajua Kuna masomo mangapi? 3 weeks interval Ina maana kwa wiki maximum mitihani miwili, masomo yapo mangapi? Au kwa akili yako wanafanya SoMo Moja tu?

Miaka Hio special schools kama kibaha, ilboru , mzumbe kulikua na fitness tests, anatunga mwanafunzi wengine mnafanya japo ilikua sio lazima, karibia Kila wiki kulikua na fitness tests zaidi ya 5 na kuna watu tulikua tunafanya zote, lisaa limoja kwa siku
Mtu anakomaa na elfu moja na miambili lakini anammuita mheshimiwa yule anayemmuibia dola milioni 50.


Ndiio maana magereza zetu zimejaa vibaka tu ila majizi orijino yanatamba na Vx
Hili linawahusu walimu,kwa nafasi yao hao majizi makuu nayo yana nyuzi zao huko
 
Kwaio ulitaka kutuambia ulisoma Special school, Mi nlisoma kayumba tena day na nikachana. na hatukuwa na hizo fitness test
Mkuu mambo yanabadirika, mwenyewe nilisoma Kayumba pia lakini shule ile ile ambayo sisi tulifauru kwasasa ndiyo inaongoza kwa kuzalisha Zero za kutosha.

Pasipokuwa na jitihada za ziada kutoka kwa Walimu na kuungwa mkono na Wazazi basi ni disaster.

Elimu ni ghali Mkuu, sisi tuliosoma High School shule za Serikali tena PCM bila kusoma Tuition pamoja na kulipia kufanya mitihani ya kujipima kila week tusingefauru kwenda Vyuo vikuu.

Imagine unanunua vitabu vya yule Muhindi kila Somo sio chini ya shilingi 50,000 kitabu kimoja miaka ile lakini bado Wazee wetu walinunua ili tusome.

Angekuwa ndiyo mtoa mada anaambiwa anunue kitabu shilingi 50,000 si angemwandikia na Mama Samia barua kumlalamikia kabisa
 
Siku hizi shule nyingi za Serikali msingi na sekondari hasa za kutwa walimu wanawafanyisha wanafunzi mitihani kila baada ya siku 3 na wanalipa 1200 au zaidi.

Hivi kila baada ya siku tatu kipi kipya wanakuwa wamefundisha watoto mpaka wawafanyishe mitihani?

Hivi kufanya mitihani kila mara ni kipimo cha uelewa?

Ni kweli maslahi yenu ni madogo lakini msichukulie sababu yakufanya uhuni,hata kama maslahi madogo hakuna mtu aliwachagulia hiyo kazi.
ngoja mpwayungu aje ataitolea ufafanuzi
 
Back
Top Bottom