EEX
JF-Expert Member
- Oct 19, 2014
- 3,781
- 12,091
🚮mpwayungu village njoo uone comment za walimu😁😁😁😁 njaa zitawaua hawa watu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🚮mpwayungu village njoo uone comment za walimu😁😁😁😁 njaa zitawaua hawa watu
Kwa kweli, huwezi kulalamika kwa jambo muhimu kama hili unless Mzazi pia awe hapendi shule.Wapumbavu Hawa,
Umesoma mada au unatunga yakwako? mtoa hoja kaesa SIKU3 we mambo ya wiki unayatoa wapi MWALIMU? Jikite kwenye HOJA ILIYOPO MEZANI3 weeks interval Ina maana kwa wiki maximum mitihani miwili,
"Siku hizi shule nyingi za Serikali msingi na sekondari hasa za kutwa walimu wanawafanyisha wanafunzi mitihani kila baada ya siku 3 na wanalipa 1200 au zaidi." MWISHO WA KUNUKUUUnajua Kuna masomo mangapi? 3 weeks interval Ina maana kwa wiki maximum mitihani miwili, masomo yapo mangapi? Au kwa akili yako wanafanya SoMo Moja tu?
Soma hilo jina la mwisho,umeona hiyo ni shule ya msingi janja janja? Acha kukaliliUngekuwa hauna mtoto hapo usingekuja kulalama,washakupata ndo maana unalalama
Kwaio ulitaka kutuambia ulisoma Special school, Mi nlisoma kayumba tena day na nikachana. na hatukuwa na hizo fitness testNyi wapumbavu hamtaki watoto wafanye mitihani au?
Kwa hiyo siku hizi ukitoa hoja inayohusu suala la jumla basi maana yake umeshindwa kugharqmika? Mbona kichwa kikubwa lakini slow learner🚮🚮🚮Maisha yasipokuwa ya uhakika unampaje binti wa watu mimba?
Wanatufanya wajingaKwaio ulitaka kutuambia ulisoma Special school, Mi nlisoma kayumba tena day na nikachana. na hatukuwa na hizo fitness test
Usinipange umejibu sehemu ambayo ni muhimu kwako,muongozo unasemaje?Mtoa mada unaonekana uelewa wako mdogo Sana kuhusu elimu,unaeuliza Kama kufanya mitihani Ni kipimo Cha uelewa kweli ndio swali la kuuliza hili?unataka mwanao afanye mtihani kila baada ya miezi mitatu alafu afaulu?tafuta pesa ukiona hizo pesa unamtajilisha mwalimu na mwanao hamna anachopata Basi kaa na mwanao nyumbani umfundishe mwenyewe
Mkuu mzazi ukiona umeanza kulalama masuala yanayohusu matumizi ya fedha kwaajili ya mwanao basi maana yake huna uwezo wa kulea.Kwa hiyo siku hizi ukitoa hoja inayohusu suala la jumla basi maana yake umeshindwa kugharqmika? Mbona kichwa kikubwa lakini slow learner🚮🚮🚮
Upigaji eti mpk mitihani ya kufungia shule buku buku. Sisi tulikua tunafanya pepa jmos tu ya kulipia.. na hapo ni utaratibu wa madarsa ya juu std 5 na kuendelea. Sasa hawa hawana cha drs la kwanza wala la 7. Ni mitihani tu ni hela tu.. and ofcoz hela ni ngumu! Upigaji waziwaziSijakuelewa mkuu
Hivi ni hupendi mwanao afanye mtihani kila baada ya siku 3 au huna iyo shs 1200 ya kulipa kila baada ya siku 3?
Pongezi!! Mid term test ya kulipia?! Serikalini!!Vitu vingine vinashangaza, nilitegemea awape hata pongezi
Unampa mtu pongezi kwa kukaririsha?Vitu vingine vinashangaza, nilitegemea awape hata pongezi
Dah!Butimba sekondari ya mwanza michango ni kama ifuatavyo.
1. Gharama za photocopy- 5000@month
2. Gharama za chakula-30000@month
3. Gharama za tuisheni-1000@month
4. Gharama za walimu wa kujitolea- 2000@month
5. Tisheti - 12000
6. Rim papers-16000 as per now.
Jumla kuu: kwa mwezi ni 38,000/ ukitoa tisheti na rim zinazojumuishwa kwenye grand total ya mwaka mzima.
Hapo mzazi hajagharamikia nauli ya mwanae.
Kweli walimu wameamua kunyoosha makucha.
Mwisho kabisa. Wanafunzi wa form one hawasomi na mkuu wa shule amedai watafundishwa masomo mawili tu mwaka huu,
Hesabu Na kiingereza.
Rais Samia toa ajira usaidie watoto wa watanzania.
Unajua Kuna masomo mangapi? 3 weeks interval Ina maana kwa wiki maximum mitihani miwili, masomo yapo mangapi? Au kwa akili yako wanafanya SoMo Moja tu?
Miaka Hio special schools kama kibaha, ilboru , mzumbe kulikua na fitness tests, anatunga mwanafunzi wengine mnafanya japo ilikua sio lazima, karibia Kila wiki kulikua na fitness tests zaidi ya 5 na kuna watu tulikua tunafanya zote, lisaa limoja kwa siku
Hili linawahusu walimu,kwa nafasi yao hao majizi makuu nayo yana nyuzi zao hukoMtu anakomaa na elfu moja na miambili lakini anammuita mheshimiwa yule anayemmuibia dola milioni 50.
Ndiio maana magereza zetu zimejaa vibaka tu ila majizi orijino yanatamba na Vx
Mkuu mambo yanabadirika, mwenyewe nilisoma Kayumba pia lakini shule ile ile ambayo sisi tulifauru kwasasa ndiyo inaongoza kwa kuzalisha Zero za kutosha.Kwaio ulitaka kutuambia ulisoma Special school, Mi nlisoma kayumba tena day na nikachana. na hatukuwa na hizo fitness test
ngoja mpwayungu aje ataitolea ufafanuziSiku hizi shule nyingi za Serikali msingi na sekondari hasa za kutwa walimu wanawafanyisha wanafunzi mitihani kila baada ya siku 3 na wanalipa 1200 au zaidi.
Hivi kila baada ya siku tatu kipi kipya wanakuwa wamefundisha watoto mpaka wawafanyishe mitihani?
Hivi kufanya mitihani kila mara ni kipimo cha uelewa?
Ni kweli maslahi yenu ni madogo lakini msichukulie sababu yakufanya uhuni,hata kama maslahi madogo hakuna mtu aliwachagulia hiyo kazi.