A
Ungeweka na kiasi chenyewe wanachotakiwa kulipwa kwa mwezi hio ya kujikimu ni kiasi gani? Ungeweka ili ueleweke vizuri usije kuta ni 1000 tu halafu unaipigia kelele namna hiiHalmashauri ya Geita Vijijini ni mfano, hawalipi hela ya kujikimu, walimu ajira mpya toka Mwaka 2025 January walioajiriwa hawajalipwa kabisa pesa ya kujikimu ilihali halmashauri zingine wamelipa.
Inatakiwa mlipwe kiasi gani kwa mwenzi? Weka kiasi kabisa ili ueleweke halafu unapofichua maovu km anonymous funguka kila kitu sio unafichaficha unaficha nini na wewe ni anonymous? Eleza kila kitu mpaka kiasi mnachotakiwa kulipwa kwa siku cha kujikimu fungukaHawajalipa hizo ela sasa , inawezekanaje ,ilo wakati pesa hazitoki ndani ya alimashauri?
Kwa halmashauri ya Geita kulipwa ni ndoto sahau nazani ndio halmashauri wezi Tanzania namba Moja ni GeitaWatumishi Walimu ajira mpya wananyanyaswa sana katika ngazi ya halmashauri, baadhi ya halmashauri hazilipi hela ya kujikimu kwao, fikiria kaajiriwa toka January ya 2025 hadi sasa hajapewa hela ya kujikimu 🙄.
Halmashauri ya Geita Vijijini ni mfano, hawalipi hela ya kujikimu, walimu ajira mpya toka Mwaka 2025 January walioajiriwa hawajalipwa kabisa pesa ya kujikimu ilihali halmashauri zingine wamelipa.