Walimu Busega wachachamaa,wampa notisi ya siku 90 Maiko Kachoma (Mkurugenzi,Busega) wasema lazima Haki ipatikane

Walimu Busega wachachamaa,wampa notisi ya siku 90 Maiko Kachoma (Mkurugenzi,Busega) wasema lazima Haki ipatikane

Mkuu hakuna mtu mpuuzi na mjinga kama bwana Kachoma,tumegoma kumnyenyekea,Haki haiombwi,inadaiwa, tunaendelea kushughulikia Kila sehemu,nasikia anampango wa kwenda kugombea ubunge,huyu jamaa kama wajumbe wananisikia wampige CHINI ,mnafiki sana,hafai
Habari za Igalukilo, Shigala, Ngasamo, Bulima, Masanza Kona, Nyaluhande, Sayaka, Badugu, Nyashimo, Nasa n.k ndugu mwl
 
Pambana hadi kieleweke, hao maafisa wamezidi sana kuwaonea walimu
Hii ilikuwa enzi za mwalimu,Sasa ni Haki bin Haki,ndo maana tumempa notisi ya siku tisini,akijifanya mjuaji lazima Ile kwake,nimepata taarifa Leo kapigiwa simu Mara nyingi sana,na analalamika kuwa eti sisi walimu tunamchafua Kwa jamii yake kwani analengo la kwenda kugombea ubunge huko kwao,Sasa tunampungizia maksi,

Hii ni mwanzo tu,Kuna taarifa nimepewa kuwa CWT wamempa pesa ndefu sana ili acheleweweshe mchakato wa kututoa,na Kuna sehemu wamemjengea nyumba kabisa ndo maana Kawa mpofu wa sheria
 
Viongoz wengi huwa wanatumia mifumo ku minya haki za watu (watumishi)
Hasa hawa viongoz wa halmashauri wao wanajionaga miungu watu asee,

Unaweza kuw na barua zako yeye anapaswa kupitsha isonge mbele yeye ana baunsisha na kuijbu barua wakat hamuusu.

Nazan ni.muda wa ku monitor haki za watu kupitia teknolojia.
 
Hatari sana,usipokuwa makini unaweza jikuta umejichukulia sheria mkono,huyo Kachoma aache kucheza na mishahara ya watu,akachezee mat **k ya mkewe
Was his wife's nyash necessarily to mention here..Duh ya maskini mkewe yuko busy na shughuli zake huko hajui kama mat**o yake natunatukanwa huku..msamehe mkuu
 
Was his wife's nyash necessarily to mention here..Duh ya maskini mkewe yuko busy na shughuli zake huko hajui kama mat**o yake natunatukanwa huku..msamehe mkuu
Uko sahihi mkuu but inauma sana,jamaa anajiona Mungu mtu,naamini hata ubunge anaopanga kwenda kuupambania hataupata kabisa,tutadili naye ili wajumbe wamuengue mapema sana
 
Back
Top Bottom