BARAKA NGANYAGWA
Member
- Jun 12, 2016
- 35
- 3
Mimi mwl sekondari natafuta mtu wa kubadilishana nae kituo cha kazi aje Mtwara Tandahimba mimi niende Mbeya wilaya yoyote, songwe, kilimanjaro, Njombe, Iringa kilolo, mufindi na Morogoro kilombelo, ifakara na matombo kwa mawasiliano 0717 101055 / 0765 101554