kibatali mafuta
Member
- Oct 21, 2015
- 45
- 3
njoo kilindi tanga nije kilosa morogoro
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njoo urambo tabora nije pwani, dar,mtwara manispaa
Njoo Moshi nije Dar wilaya yoyote au Pwani. Mwalimu wa Sekondari 0658825141
njoo simiyu karibu na magu mkuuNjoo Minaki High School (Kisarawe-Pwani), shule ipo karibu na Pugu High School.Mie nije Nyamagana/ Ilemela au Magu- Mwanza. 0715005595
mwambie aje Ruangwa LindiNjoo Njombe Mji nije sehemu yeyote kati ya hizi[emoji116]:
Kilwa
Kibiti
Kisarawe
Bagamoyo
Chalinze
Kibaha
Mlandizi
Kwa Matiasi
Temeke
Ilaa
Kinondoni
Kigamboni
Idara sec.
0759007829
Njoo singida vijijini nije dar
Wewe ni Mwalimu (Msingi, Sekondari n,k) na unahitaji mtu wa kubadilishana naye kituo cha kazi?
Weka ombi lako hapa na wengine watawasiliana nawe.
Njoo manispaa ya Singida, mimi nije manispaa ya Morogoro...Idara sekondari, ni pm kwa maelezo zaidi
Ni muhimu kuzingatia kuwa, ukiweka baruapepe (email), namba yako ya simu mtandaoni haishauriwi (at your own risk). Njia bora inayopendekezwa na JamiiForums ni kwa PM (Private Messages) ndani ya JF - kwa usalama wako na usiri zaidi.
MUHIMU: Ni vema kusema UPO wapi na ungependa KWENDA wapi ili wale wenye kutaka kuwasiliana nawe wapate urahisi wa kukutafuta ili kurahisisha mchakato.
Tunakutakieni utumishi mwema.
JamiiForums
sogea lindi karbu na songeaNjoo kilindi Tanga aje Songea mjini idara sec 0716 786105 or 0763078602
Lindi hamnasogea lindi karbu na songea