WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Mwa
Njoo Njombe Mji nije sehemu yeyote kati ya hizi[emoji116]:
Kilwa
Kibiti
Kisarawe
Bagamoyo
Chalinze
Kibaha
Mlandizi
Kwa Matiasi
Temeke
Ilaa
Kinondoni
Kigamboni
Idara sec.
0759007829
mwambie aje Ruangwa Lindi
 
Njoo Ngara - kagera Nije
Arusha
Kilimanjaro
wilaya yoyote secondary!
0712272365
 
Njoo Ngara - kagera Nije
Arusha
Kilimanjaro
wilaya yoyote secondary!
0712272365
 
Njoo Ngara - kagera Nije
Arusha
Kilimanjaro
wilaya yoyote secondary!
0712272365
 
Wewe ni Mwalimu (Msingi, Sekondari n,k) na unahitaji mtu wa kubadilishana naye kituo cha kazi?

Weka ombi lako hapa na wengine watawasiliana nawe.

Njoo manispaa ya Singida, mimi nije manispaa ya Morogoro...Idara sekondari, ni pm kwa maelezo zaidi

Ni muhimu kuzingatia kuwa, ukiweka baruapepe (email), namba yako ya simu mtandaoni haishauriwi (at your own risk). Njia bora inayopendekezwa na JamiiForums ni kwa PM (Private Messages) ndani ya JF - kwa usalama wako na usiri zaidi.

MUHIMU: Ni vema kusema UPO wapi na ungependa KWENDA wapi ili wale wenye kutaka kuwasiliana nawe wapate urahisi wa kukutafuta ili kurahisisha mchakato.

Tunakutakieni utumishi mwema.

JamiiForums
 
Mimi mwalimu wa sekondari nipo Chamwino Dodoma nataka kubadilishana kituo cha kazi na mtu aliye katika mkoa wa Tanga
 
Karibu mafia kisiwa cha utalii karibu na dar na km hujawai kupanda ndege hii ndo fursa pekeee mana usafiri wa mtumishi huku ni ndege.nipm tafadhali popote ulipo idara sec
 
Jamany watu wangu wa nguvu naitwa mwalimu Mahamba nipo manispaa ya Tabora idara sekondari ,natafuta MTU wa kubadilishana naye mm nije busokelo na yy aje tabora,naomba kama kuna MTU unamjua nifikishieni ujumbe huu mwanajamiiforum.
 
Njoo UVINZA(KIGOMA),Mimi nije;
1)lindi
2)pwani
3)tanga
4)I ring a
5)mtwara
IDARA ni MSINGI .
Mawasiliano ni
0786_172992
 
Back
Top Bottom