ALEXIS SANCHES
Member
- Feb 12, 2015
- 9
- 0
mwalimu yupo mtwara wilaya ya nanyumbu, idara ya elimu msingi anatafuta wa kubadilishana nae toka mikoa ya IRINGA, NJOMBE, RUVUMA, NA MBEYA Kwa aliye tayari mawasiliano ni; 0767793553 au 0628166361
idara ghan kuna wa bukobaNjoo Arusha, ngorongoro nije Mwanza, Tabora, Kahama, Nzega, Dodoma mjini#0762770455
Mkuu njoo mpakani mwa karera na Kigoma.Njoo Temeke nije buhigwe kigoma secondary
Njoo lindi liwale nije huko mkuu,0767361392Njoo UVINZA(KIGOMA),Mimi nije;
1)lindi
2)pwani
3)tanga
4)I ring a
5)mtwara
IDARA ni MSINGI .
Mawasiliano ni
0786_172992