WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
njoo kilindi nije Korogwe vijijini idara sekondari..tanga ni Yetu sote
0688 990 975
 
njoo Tanga -kilindi nije bariadi,busega,magu,sengerema,chato au bunda idara sekondari..

0683 067 511
 
Mwalimu yupo Kyerwa anatafuta wa kubadilishana nae aliye Kahama Mjini.
Idara - Sekondari.
#0767478396.
 
Nipo Arusha Monduli Idara Sek. natafuta mwalimu wa kubadilishana nae kutoka Kilimanjaro Rombo, Siha Hai namba zangu ni 0755883313 nitafute tuzungumze zaidi
 
G.I.Masawe natafuta mwalimu idara ya sekondari kutoka Kilimanjaro wilaya za Hai, Siha, Rombo Moshi Vijijini, Moshi Mjini, yeye aje mkoa wa Arusha- Monduli. Kwa mawasiliano... Zaidi 0755883313. Tuma text au reply tuwasiliane.
 
Mimi ni mwalimu wa bomani sec, iliopo halmashauri ya mji tarime, inapakana na chuo cha ualimu na tarime secondary. Nataka mtu wa kubadilishana nae kutoka Dodoma manispaa, idara secondary. Kwa mawasiliano piga namba, 0744786679
 
Back
Top Bottom