WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
ffbbd34220acf321bc8b0552a42d4873.jpg
 
HIVI WATU WA MTWARA WAPO AU HAWAPOO? NA KAMA MPO MATANGAZO HAMYAONI AU MPAKA TUJE MIKOANI TUBANDIKE HARD KOPI? 0717 101055 ID SEC.
 
Njoo Lindi Nachingwea idara Msingi nije Mwanza au Simiyu 0625954293 nipo na wife so we need Two people who need to make exchange.
 
Mimi nipo Halmashauri ya wilaya ya Kasulu anaehitaji tubadilishane nahitaji kwa walio mkoa wa Mbeya au mkoa mpya wa Songwe tu.. plz ani PM.
 
Idara ya Elimu Sekondary plz jamani nipo Halmashauri ya wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma nataka kuja mkoa wa Mbeya au mkoa mpya wa Songwe
 
Back
Top Bottom