YUSUPH SHEKILINDI
JF-Expert Member
- Aug 7, 2013
- 230
- 4
nipo karatu mjini.idara ya secondari natafuta wa kubadilishana naye kutoka meru au arusha jiji
anicheki 0753816466
Mimi ni mwalimu niko mkoa wa Arusha wilaya ya monduli. Natafuta mwalimu wa kubadilishana nae yeye aje mko wa Arusha mimi niende mkoa wa Kilimanjaro Wilaya yoyote.
Uko shule gani kwa hapo karatu!!!mi niko jijin Arusha!!nataka rudi krt(home)
mke wangu yupo halmashauri ya sengerema mwanza s/msingi abadilishane na mtu anatakiwa kuja nilipo mwanza mjini.akiyetayari tupia hapa