WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Wewe ni Mwalimu (Msingi, Sekondari n,k) na unahitaji mtu wa kubadilishana naye kituo cha kazi?

Weka ombi lako hapa na wengine watawasiliana nawe.

Ni muhimu kuzingatia kuwa, ukiweka baruapepe (email), namba yako ya simu mtandaoni haishauriwi (at your own risk). Njia bora inayopendekezwa na JamiiForums ni kwa PM (Private Messages) ndani ya JF - kwa usalama wako na usiri zaidi.

MUHIMU: Ni vema kusema UPO wapi na ungependa KWENDA wapi ili wale wenye kutaka kuwasiliana nawe wapate urahisi wa kukutafuta ili kurahisisha mchakato.

Tunakutakieni utumishi mwema.

JamiiForums
Njoo singida vijijin nije wilaya yoyote ya kilimanjaro idara sekondari Namba 0757409740 au 0684 274 398
 
Kwa manesi: njo mwanga kilimanjaro, kuna nyumba, nije katesh hanang cheo EN.
 
Walimu wanaopenda biashara kwa ajili ya kupata kipato cha ziada na cha kutimiza malengo yako unaweza kunicheki kupitia namba 0764125128. kujiunga na kampuni yetu ya kusambaza bidhaa bora kabisa Tanzania.
Pia naomba walimu aliyepo Iringa, Njombe anayetaka kwenda SIKONGE Tabora antext.

Stay blessed.
 
W
biashara gani wapendwa
 
NJOO TANGA-(KILINDI) MIMI NIJE BARIADI, BUSEGA, MAGU, MISUNGWI, KWIMBA, CHATO, au SENGEREMA
IDARA SEC. NO: 0683067511/0769325378
 
Njoo mufindi nije Dodoma mjini au korogwe Tanga idara secondari
 
Njoo Lindi Nachingwea nije Mwanza au Simiyu (Busega) 0625954293 . Nahitaji watu wawili au ukiwa peke yako tuwacliane
 
Back
Top Bottom