Yusuph Wernery
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 316
- 147
Njoo kilindi Tanga aje Songea mjini idara sec 0716 786105 or 0687 479 085
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njoo singida vijijin tuwasiliane 0757409740Njoo MOSHI Kilimanjaro mimi nije pwani ie kibaha, chalinze nk au Dar, dodoma mjini!!
Njoo singida vijijin nije wilaya yoyote ya kilimanjaro idara sekondari Namba 0757409740 au 0684 274 398Wewe ni Mwalimu (Msingi, Sekondari n,k) na unahitaji mtu wa kubadilishana naye kituo cha kazi?
Weka ombi lako hapa na wengine watawasiliana nawe.
Ni muhimu kuzingatia kuwa, ukiweka baruapepe (email), namba yako ya simu mtandaoni haishauriwi (at your own risk). Njia bora inayopendekezwa na JamiiForums ni kwa PM (Private Messages) ndani ya JF - kwa usalama wako na usiri zaidi.
MUHIMU: Ni vema kusema UPO wapi na ungependa KWENDA wapi ili wale wenye kutaka kuwasiliana nawe wapate urahisi wa kukutafuta ili kurahisisha mchakato.
Tunakutakieni utumishi mwema.
JamiiForums
Lindi manispaa??Njoo lindi nije tanga
WWalimu wanaopenda biashara kwa ajili ya kupata kipato cha ziada na cha kutimiza malengo yako unaweza kunicheki kupitia namba 0764125128. kujiunga na kampuni yetu ya kusambaza bidhaa bora kabisa Tanzania.
Pia naomba walimu aliyepo Iringa, Njombe anayetaka kwenda SIKONGE Tabora antext.
Stay blessed.
Sawa mwl ukimpata mtu wa mtwara mjini ni checkUSIJALI TUTAKAPORUDI SAFARI HII NAWEWE UJIANDAE KUFANYA MCHAKATO WA UHAMISHO MAANA UTAPATA MTU
Kuna mwalimu yupo tabora, hautaki? Tabora mjiniNJOO TANGA-(KILINDI) MIMI NIJE BARIADI, BUSEGA, MAGU, MISUNGWI, KWIMBA, CHATO, au SENGEREMA
IDARA SEC. NO: 0683067511/0769325378