Huyo mwalim wa Tabora mjin aje Lindi manispaa mi niende Tabora kama yuko tayari idara sekondari.0718038964/0752038964
 
Njoo Lindi manispaa nije Arusha,Kilimanjaro,Mwanza au shinyanga wilaya yoyote.Idara sekondari:0718038964/0752038964
 
Habarini walimu, poleni na majukumu ya kila siku. Napenda kuwatangazia huduma mpya inayopatikana kupitia hamafasta.com huduma inayotolewa katika mtandao huu ni kukutanisha walimu wenye mahitaji sawa ya kuhama sehemu mbali mbali. Kwa mfano mwalimu aliyeko mwanza anayehitaji kuhamia arusha anauwezo wa kumpata mwenzie aliyeko arusha anayehitaji kuhamia mwanza kwa urahisi zaidi.
Kupitia huduma hii pia mwalimu atakua na uwezo wa kutafuta kupitia searchbox mtu anayeendana na mahitaji yake ya kuhama. Mwisho kabisa huduma hii ni BURE kabisa, unachohitaji ni kujisajili tu. Karibuni

hamafasta.com ni suluhisho la mahitaji yako ya kuhama kituo cha kazi

Tupo kukusaidia
 
Njoo Mbinga nije mbeya (V)(M)songwe,mbozi,chimala,rujewa,chunya, umalila,ileje, idara secondary
 
NJOO TANGA(KILINDI) MIMI NIJE BUSEGA,BARIADI,MAGU,MISUNGWI, CHATO au KWIMBA no 0683067511/0769325378
 
HABARI WALIMU, POLENI SANA KWA MATANGAZO ILA MSIZIMIE MIOYO MAANA ATAFUTAE HUPATA. LEO NIMEKUJA NA OFA NYINGINE KAMA UPO SONGWE, MBEYA, NJOMBE, IRINGA NA MOROGORO WILAYA YOYOTE UNATAKA KUJA MTWARA - TANDAHIMBA (MJINI) NITAFUTE TOFAUTI NA HAPO HAPANA 0717 101055 NA 0765 101554
 
Habari ndugu wana jf..
Naitwa JAMES PETER ni mtumishi mwalimu idara ya Sekondari niko ROMBO KILIMANJARO
Natafta mtu wa kubadirishana kituo cha kazi anae Toka BUSOKELO MBEYA.
Aliye tayari tuwasiliane ani PM au nipigie 0625841197

ASANTE!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…